- Thread starter
- #21
Kuhusu wanajeshi kukinukisha si jambo jepesi hata kidogo. Wao kwa wao hawaaminiani, halafu mkuu anaweza akashushuliwa na mtu wa chini kabisa kujipendekeza ngazi za juu kuonesha utiifu.
Kwa hiyo atakayeanza ku plot, asipokuwa makini, muda huohuo mkulu anahabarishwa.
Rejea kadhia ya hayati mwalimu Nyerere na koswakoswa ya mapinduzi ya kijeshi karibia safari4!
Raia mnatakiwa kuanza halafu wao 'wanaboresha'.
Kwahiyo unataka kusema wanajeshi walikuwa wanaogopa wakijiuliza nani atamfunga paka kengere?