Trainee
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 3,024
- 4,031
Naongelea hususani wakati wa asubuhi, kwa wale ambao wametokea uswazi mnanielewa kukiwa na umande umande unaamka zako asubuhi sana unaenda shambani au shuleni maybe, basi unashangaa huko nyuma mgongoni wajumbe nzi kibao wamekuganda kila kona unayoingia. Enzi hizo tulikuwa tukitaniana kuwa ni kutokana na kutokujisafisha vizuri mwili hasa pale mtu anapotoka haja kwahiyo nzi wanafuata harufu ya mavi lakini nimekuja kugundua sivyo!
Naomba ufafanuzi hali ile inatokana na nini
Naomba ufafanuzi hali ile inatokana na nini