Kwanini Nyerere hakumkubali Lowassa?


Kama mtu una umri kuanzia age ya 40 alafu ukaambiwa wewe bado mdogo kupewa nafasi fulani basi ujue huyo kakudharau. A fool at 40 is a fool fotever.
 
Heri yako wewe ambaye umesema Lowassa ni fisadi lakini ni mtendaji. kwanza unatambua utendaji wa Lowassa na hilo ndo la msingi. hayo ya ufisadi, hakuna mtu ccm ambaye si mwizi. Uliwahi kujua Sitta anaishi bado nyumba ya Spika na kupelekea Mh Makinda kujengewa nyumba yake kubwa kwa gharama kubwa kwa kigezo cha uspika? Unamkumbuka Maige alipojenga nyumba ya milioni mianne kwa mda mfupi alipokuwa waziri? wapi Ngeleja, Wapi Tibaijuka na Eascrow, wapi wengine wengi mnaowajua? ufisadi ccm ni utamaduni. na anayempiga Lowassa vita kwa kigezo cha ufisadi hana hoja kabisa. Tuna watu kama kina Daniel Yona, Mramba waliofikishwa mahakamani kwa tuhuma za ufisadi ma Lowassa hajawahi fikishwa kwenye vyombo vya sheria kwa kigezo chohote kile cha kifisadi. Kwa hiyo unapoongelea ufisadi wa lowassa toa hoja zenye mashiko.
 

ufisadi wa lowasa ungeweza kujiuliza kwanini Nyerere alimkataa, na sio wengineo?
 

He nyerere alitaka Lowassa asiinvest hela zake alizokuwa akizipata badala yake azipeleke kwenye shimo ambazo hakuna mwanaume yeote duniani alishawahi kulijaza! Hii ni ajabu kweli kweli. Lowassa is a capitalist and he subscrips to values of capitalisgcapitalism'sm. Nyerere was a socialist and there was no way he could with capitalism. That is all!.
 
Lowassa alikuwa ufisadi kumbe kitambo sana
 
Ukiandika Kiswahili si afadhali kuliko broken English inayotia huruma!
 
Amen!
 
U

Si bora uandike Kiswahili tu maana English yenyewe mbovu sana!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…