"the dark side of mwalimu nyerere"
Haiwezekani awe intelligent,smart na visionary halafu achukue wrong path!I admit that Nyerere was very intelligent,smart,visionary,philosophical and examplary leader.But his choice of Socialism as a way foward in growing our economy and development as a whole wa a grave mistake,Socialism was killing potentials among Tanzanians ...
Kuna watu hiyo darkness inawafunika jumla. Mwalimu alikosea mara chache na ni ubaya wa kutafuta. Kuna kiongozi uzuri wake ndo wa kutafuta.
hata funza wa maiti wanawazidi hao mbulula wanaosema hivyo! HAKUNAGA KAMA BABA NYERERE NA HATATOKEA! waliofuata baada yake ni wezi na mashetani! especialy tuliyenaye sasa hivi, hana mfano, ni jangili kabisa!