Kwanini Nyerere alimtimua Sheikh Yahya Hussein?

Kwanini Nyerere alimtimua Sheikh Yahya Hussein?

shehe huyu nasikia alitumika kutumia mbinu za kumaliza mwakyembe lakini wakaogopa UMMA wakabadilisha ushaidi anao mwakyembe
 
raisi yeyote mwenye akili angemtimua..ameisha kwa raha hasa kipindi cha huyu G unit member..
 
et jk NI mtu wa watu!! teh teh teh teeeeeeeeeeeeeeeeeeh
 
et jk NI mtu wa watu!! teh teh teh teeeeeeeeeeeeeeeeeeh
avatar53179_1.gif

Duh!Avatars nyingine bana!Sasa hii kama ni kweli si ugonjwa huu ndugu yangu?Inaonekana ana majibu kibao!Ujumbe wako ni nini haswa?Teh teh teh!Haya bana,ndo uhuru huo...
 
RIP.
ila huyu mzee alijua kucheza na akili za watu maana kwenye website yake ameweka jinsi ya kujitabiria!
Siku hiyo nikajifanyia hesabu khaaa! Kujakusoma matokeo yake nikajikuta na mawazo mpaka basi nilitamani siku hiyo iwe kesho!
 
Back
Top Bottom