Kwanini Nokia isirudie zamani?

mkuu toka 2010 Nokia waliajiri CEO wa kwanza wa kigeni akazipiga chini hizo simu, na software husika ikauzwa kampuni fulani ireland sasa hivi imefungiwa haitumiki, watu walilalamika sana wakataka ifanywe open source na kampuni nyingi zilikuwa interested ila hakuna aliefanikiwa, kifupi ilikuwa ni scandal kubwa sana na mpaka leo huyo CEO hapendwi sana na wapenzi wa Nokia.

sasa hivi zipo simu kama hizo za Nokia ila hazitengenezwi na Nokia wenyewe bali kampuni Inaitwa HMD, japo muonekano ni kama wa Nokia ila ufanyaji kazi ni tofauti, unatumia os ya kaios ambayo ipo slow, haina mambo mengi na mvuto kama symbian.

nokia wenyewe sasa hivi wapo zaidi kwenye Networking mambo ya 5g, magari yanayojiendesha yenyewe, kulicence technology etc

japan wana feature phone za Aina hio ambazo zina muonekano mzuri na pengine software nzuri pia, ila upatikanaji wake ni mgumu sana
Infobar xv
6.jpg


unaweza ziangalia zaidi hapa
Kyoex - Shop Buy our selection of Japanese Keitai Slide Phones
Kyoex - Shop Buy our selection of Japanese Keitai Flip Phones
Nimependa Uchambuzi wako Chief Mkwawa, wewe ni Expert!
 
Ninayo Nokia x2_01 mpaka leo unapiga mzigo,Kila kitu iko njema ,Facebook naingia,jamii forum pia naingia.
Nokia ni kiboko ya simu zooooote zilizopo sojoni.nani Ana simu ya 2012 mpaka leo na iko njema.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Angalia hii BBC documentary jinsi Nkia walikuwa wanakula bata mpaka wakauwa kampuni
na walikataa kutengeneza touch screen phone miaka kabla kabla hata iphone1 haijatoka, ilivyotoka ndio ukawa mwiso wa Nokia
sasa kuna museum tu imebaki

 
Nokia.
Nitakukumbuka daima.

Screenshot_20200629_212107.jpg
Screenshot_20200629_212018.jpg
Screenshot_20200629_211848_org.mozilla.firefox.jpg
Screenshot_20200629_211829_org.mozilla.firefox.jpg
Screenshot_20200629_211429_org.mozilla.firefox.jpg
Screenshot_20200629_211504_org.mozilla.firefox.jpg
Screenshot_20200629_211726_org.mozilla.firefox.jpg
Screenshot_20200629_211444_org.mozilla.firefox.jpg
Screenshot_20200629_211819_org.mozilla.firefox.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20200629_211444_org.mozilla.firefox.jpg
    Screenshot_20200629_211444_org.mozilla.firefox.jpg
    23 KB · Views: 1
images-9.jpg
images-11.jpg
images-11.jpg
images-10.jpg
images-9.jpg
Nokia zilikuwa Nokia kweli,mpaka roho inaniuma aisee hizi mobile ntazipata wapi?
 
Back
Top Bottom