Mtela Mwampamba
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 537
- 347
KWANINI NITAMCHAGUA MAGUFULI:
A. Magufuli hakwepi kodi
Lowasa anakwepa kodi
Magufuli ametimiza malengo ya wizara yake 90%
Lowasa amefanikiwa kupiga pesa kwenye wizara zake 90%
B: KAULI ZA VIONGOZI WA UKAWA.
Atakaye muunga mkono Lowasa apimwe akili- Msigwa
CCM wamempa form kugombea urais MTU aliyepaswa kuwa jera, wametudharau watanzania- Lipumba.
Nawashangaa wanaochoma moto vibaka na kumuacha Lowasa anatanua mtaani- Mbowe
NI heshima KWA mungu kumzomea mwizi na fisadi kama Lowassa- G.Lema
Lowassa tumemtaja katika list ya watu wanaotia hasara Taifa (List of shame) Slaa.
Nina ushahidi juu ya wizi unaofanywa na mafisadi sugu wa Tanzania akiwemo Lowassa na akina Rostam - Mnyika
Je kwa kauli hizi una mshangaaje MTU aliyekua team Lowassa na sasa NI team Magufuli?
Kazi ipo mwaka huu.KWANINI NITAMCHAGUA MAGUFULI: A. Magufuli hakwepi kodi Lowasa anakwepa kodi Magufuli ametimiza malengo ya wizara yake 90% Lowasa amefanikiwa kupiga pesa kwenye wizara zake 90% B: KAULI ZA VIONGOZI WA UKAWA. Atakaye muunga mkono Lowasa apimwe akili- Msigwa CCM wamempa form kugombea urais MTU aliyepaswa kuwa jera, wametudharau watanzania- Lipumba. Nawashangaa wanaochoma moto vibaka na kumuacha Lowasa anatanua mtaani- Mbowe NI heshima KWA mungu kumzomea mwizi na fisadi kama Lowassa- G.Lema Lowassa tumemtaja katika list ya watu wanaotia hasara Taifa (List of shame) Slaa. Nina ushahidi juu ya wizi unaofanywa na mafisadi sugu wa Tanzania akiwemo Lowassa na akina Rostam - Mnyika Je kwa kauli hizi una mshangaaje MTU aliyekua team Lowassa na sasa NI team Magufuli?
Kwani maghufuli yeye si fisadi? Ongea kwa evidence mkuu. You can't fool everybodyikulu akiingia mwizi, itakua msoto mwingine tena kwa miaka 5...siwezi fanya kosa la kumchagua fisadi huku najua ni fisadi...Magufuli kachukua kura yangu mengine namuachia Godi..
ikulu akiingia mwizi, itakua msoto mwingine tena kwa miaka 5...siwezi fanya kosa la kumchagua fisadi huku najua ni fisadi...Magufuli kachukua kura yangu mengine namuachia Godi..
swala sio Lowassa swala ni CCM imefika kikomo,Magufuli ni mpangilio huo huo-anything even the devil will do-our neighbours are marching forward sisi tuko stagnant au marching backwards-watoto wetu wanasoma chini ya miembe,mama zetu wanakufa wakati wa kuzaa WHY??? a change of direction is called for
KWANINI NITAMCHAGUA MAGUFULI:
A. Magufuli hakwepi kodi
Lowasa anakwepa kodi
Magufuli ametimiza malengo ya wizara yake 90%
Lowasa amefanikiwa kupiga pesa kwenye wizara zake 90%
B: KAULI ZA VIONGOZI WA UKAWA.
Atakaye muunga mkono Lowasa apimwe akili- Msigwa
CCM wamempa form kugombea urais MTU aliyepaswa kuwa jera, wametudharau watanzania- Lipumba.
Nawashangaa wanaochoma moto vibaka na kumuacha Lowasa anatanua mtaani- Mbowe
NI heshima KWA mungu kumzomea mwizi na fisadi kama Lowassa- G.Lema
Lowassa tumemtaja katika list ya watu wanaotia hasara Taifa (List of shame) Slaa.
Nina ushahidi juu ya wizi unaofanywa na mafisadi sugu wa Tanzania akiwemo Lowassa na akina Rostam - Mnyika
Je kwa kauli hizi una mshangaaje MTU aliyekua team Lowassa na sasa NI team Magufuli?
karibuni matusi sio sehemu yake.
Mungu akujalie hekima Zaidi, Majufuli anesimamia eneo lake vizuri tu ndani ya CCM Mbovu! Akipewa nchi Atainyoosha!!ikulu akiingia mwizi, itakua msoto mwingine tena kwa miaka 5...siwezi fanya kosa la kumchagua fisadi huku najua ni fisadi...Magufuli kachukua kura yangu mengine namuachia Godi..