Kwanini nipo single, mapungufu yangu ni yapi?

Kwanini nipo single, mapungufu yangu ni yapi?

Kuwa single haimaanishi haupendwi, hautamaniki au hauvutiii


Ni kuwa tayar unasubiri anaestahili kutunukiwa upendo wako, si kila MTU wakuanzisha nae mahusiano wengine mashetani wapo Kwa ajili ya Ku destroy someone's happiness
 
Back
Top Bottom