Kwanini ninapoanza kusali tu, mwayo (Yawn) unanijia?

Kwanini ninapoanza kusali tu, mwayo (Yawn) unanijia?

JAYJAY

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2008
Posts
9,077
Reaction score
9,676
Habarini Wadau?

Hii imekuwa inanitokea mara zote ninapoanza kusali iwe asubuhi ninapoamka au hata usiku kabla ya kulala. Ninapoanza tu ibada, mwayo huo.

Kuna mdau inamtokea pia hii hali!? Nini inaweza kuwa sababu?
 
Habarini Wadau?

Hii imekuwa inanitokea mara zote ninapoanza kusali iwe asubuhi ninapoamka au hata usiku kabla ya kulala. Ninapoanza tu ibada, mwayo huo.

Kuna mdau inamtokea pia hii hali!? Nini inaweza kuwa sababu?
kwakweli hata mimi sana tu. Anoited room waishawahi kuongelea hili wakasema i shetani anakupa miayo usikie uchovu ufanye mambo kwa kulipua. suggestively jaribu kusali ukiwa umesimama
 
Hio ni brain activity/process
Nafkiri hio inatokea pale mtu unapoingia deep kwenye kutafakari, kufikiri au kuwaza, Technically unaposali una ingia deep ku think na ku create vile unavoviomba/salia in terms of imagination or visualisation.

Kumbuka sababu moja wapo ya yawning hutokea pale brain inapokuwa ina hitaji excess oxygen au inapokuwa exhausted or in high temperature.

Hivo ni kama mechanism ya brain ku obtain more oxygen and cooling down
 
Unapiga mwayo Kwa sababu ya ubongo kuwa na upungufu wa hewa.
Unapoomba Kwa mfano Sala ya BWANA, unakuwa unaaomba mfululizo bila kuweka kituo na kuvuta hewa ya kutosha, utakuwa unavuta hewa nusunusu Wakati huohuo ubongo utakuwa unatumia Oksijeni nyingi kukumbuka na kupangilia maneno kadiri yanavyotakiwa kwenye Sala ya Bwana, Hii inafanya ubongo kukosa hewa ya kutosha na kulazimisha mdomo upige mwayo ili uvute hewa ya kutosha na kutoa hewa taka kupitia pua.
 
kemea hali kama hiyo inawatokea wengi sana, sema wasemi tu


Uwapo kwenye Maombi zingatia unachokiomba.
 
Back
Top Bottom