Lonestriker
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 640
- 241
Hivi Wiliam, kweli unaona ukituandikia Ki english tutakuelewa zaidi ya kishwahili, kigogo au kinyakyusa ambazo ni lugha zako? Tatizo ni nini? Au ni maisha ya Amerika yamekuathili!? Be careful.
hahaha. Wewe ndo uliandka kuwa u studied at UDSM. Mbn katk huu mlolongo wa matukio yako hujaweka?
Nakuhakikishia watu wote waliofeli mtihani wa form IV kwa kupata division IV au ZERO huwa wana IQ ndogo sana. they cant make strong decisions. Mfano huyu jamaa hata maswali ya msingi kuhusu EAC anayakimbia kujibu, kiingereza chake ni cha ngumbalu licha ya kukaa NYC miaka zaidi ya 20 kwa mujibu wa yeye. Anyway ndani ya CCM yeyote anaweza kuwa mbunge. Maji ya bwawa la Mtera huenda yanaharibu ubongo, mfano Le Mutuz na Lusinde
Haha haha ha haa aaa!
Kwa hiyo Division IV ndio unaona ni Division ya kutambia humu JF na kule EAC. Yani wewe huna tofauti na Livingstone Lusinde na Lameki Airo. Muulize Nassari uone alipata ngapi na ujilinganishe na wewe.
Alafu Mungu Bwana ni Mwema sana. Watoto wote wa Vigogo siku zote wanaambulia Division IV na Zero. Nape Div IV, William Div IV, Mwanaasha Div IV, nk.
futa kwanza hio undelinede..we c=have to protect our country and our country is not land only
tukija kwenye common visa naona hujui chochote labda hii makala itakusaidia isome bila uvivu then come with the solutions from this uzi. na suala la fear woga na maneno mengine ya ajabu achana nayo ..tema cheche
so sad, i cant see any different from other ccm's huna tofauti nao unakimbia hoja hawa ccm wameua hadi kampuni letu la ndege ..ukienda mikoa ya kaskazini utakuta watu wengi wanatumia product za kenya kwa sababu za ujinga wenu na hawa wazazi wenu leo hii huna hoja unautakla ubunge na unakaribia kuupata ..nina uhakika wewe utasaidia sana kuipeleka Tanzania shimoni.- Like I said before I am not a believer of fear policies which is what your article stands for, nothing but fear!
William.
William are we ready for eac common market?
Haha haha ha haa aaa!
Kwa hiyo Division IV ndio unaona ni Division ya kutambia humu JF na kule EAC. Yani wewe huna tofauti na Livingstone Lusinde na Lameki Airo. Muulize Nassari uone alipata ngapi na ujilinganishe na wewe.
Alafu Mungu Bwana ni Mwema sana. Watoto wote wa Vigogo siku zote wanaambulia Division IV na Zero. Nape Div IV, William Div IV, Mwanaasha Div IV, nk.
- Well, I am division 4 if that is a failed grade then you have a point. That is my Education!
William.
Anyway ndani ya CCM yeyote anaweza kuwa mbunge. Maji ya bwawa la Mtera huenda yanaharibu ubongo, mfano Le Mutuz na Lusinde
- Well, I am division 4 if that is a failed grade then you have a point, remember what I said early I am not here to fake all bullshit, this is me and that is my Education!
William.
Pambaf unataka kumtumia kanumba kupata umaarufu wa kijinga- We are in the Common Market now after going through Customs, it is important now that EAC assembly works to legislate new policies that will integrate markets with products, and if elected I promise that to be my priority!
- Anyway, i have to run now to the Kanumba's Family to pay my respect, so will see you guys later!
William
Acha kutetea ujinga wewe Kilaza. Wenzio wazungu huwa wanachukua CREAM of the nation linapokuja suala la uongozi. Mnamlaumu leo JK kuwa anaboronga lakini chanzo cha kuboronga GPA ya 2.1 aliyopata inaeleza. Hata huyu Le Mutuz atakuwa alipata GPA ya 2. Kama ni kilaza na ulipata div4 lazima utakuwa muoga sana inapokuja ishu ya Risk taking and Innovation kwa kuogopa kushindwaHata wewe una shida kichwani kama bado unafikiri kuwa na division four ni kufeli.Unamlaumu aliyepata division four au mfumo mbovu ambao unaonesha mtu kafaulu ilhali kwenye jamii anaonekana hafai?Tunataka sera sio vyeti au mbwembwe za upinzani bila policy.
William are we ready for eac common market?
Hata wewe una shida kichwani kama bado unafikiri kuwa na division four ni kufeli.Unamlaumu aliyepata division four au mfumo mbovu ambao unaonesha mtu kafaulu ilhali kwenye jamii anaonekana hafai?Tunataka sera sio vyeti au mbwembwe za upinzani bila policy.