Kwanini ni wachagga tu na Krismas? Vipi makabila mengine?

Kwanini ni wachagga tu na Krismas? Vipi makabila mengine?

Naupenda utamaduni huu hasa enzi hii ambayo mahusiano ya kindugu yanaandelea kupungua. Ni wakati ambao ndugu Na familia ambao hamjaonana muda mrefu kwa sababu ya mahangaiko ya hapa Na pale mnapata muda tena Wa kukuonana na kupanga ya kwenu. Utamaduni huu udumishwe. Raha iliyoje kukaa pamoja na kaka, Dada, wazazi, Binamu, wajomba, shangazi, bibi, babu, wakwe,Shemeji, majirani Na marafiki zako Wa utotoni na ujanani kama wapo hai. Mungu wabariki Na uwalinde wasafiri wote wanaoenda kwao msimu huu.Amen.
 
Wewe kama kweli mhaya nakupa pole. Wakati huu kila familia kule bk ina ugeni. Ni jadi yao kwenda nyumbani wakati wa Noel nakama kupiga lamri kwani mababuzako waliabudu nini?
Mimi nilikwenda nyumbani mwezi wa 11 huwa si subiri sikukuu..
 
Ninacho shukuru hakuna folen dar sasa ivi!! Hawa jamaa wana sali sana ila ndoa zao na maisha yao.wao wanajua zaidi ni utata
 
Back
Top Bottom