Young Warlock
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 328
- 112
Kwa sababu ni dhambi na sio dhambi tu bali inahusisha mwili wako, dhambi nyingine utazifanya out of your body lakini si kwa case ya ngono, kama unavyojua kwa sisi wakristo mwili ni hekalu, unapofanya zinaa unafungua milango mingi sana kiroho bila kujua
Umeulizwa swali jibu swali kabla hujauliza swali
😀
binadam hana uhuru huo,akiwa huru haswa hawi binadam anakuwa hayawani,ndomana waliohuru haswa wanang'ang'ana wanaume waoane na kukung'utana kama wewe na mpenzi wako,dhambi ni neno la kiarabu,maana yake 'kosa'..sasa kosa linategemea kwa mtazamo upi,kama wasioamin katika mungu muumba wa kila kitu kama wewe,ndo hukaa chini na kujipangia lipi kosa lipi sio
Hebu tufumbuane akili hapa, kwa nini Mungu alikataza ngono? Ni kitu gani kinaifanya ngono iwe dhambi na kusugua meno, au kumshika mkono jinsia tofauti isiwe dhambi?
Je, kwa nini ngono si hatia kwa wanyama lakini ni hatia kwa wanadamu?
Ikapanuliwa tena, "ukimtazama mwanamke/mwanamume kwa kumtamani unazini nae" what is the exact context of it being sin and not other action?
Tujadili kama great thinkers wadau!
mi sio google kujibu hata maswali ya kipuuzi
ngono au zinaa?
Naona unajitoa ufahamu kabisa!
Na vipi mnavyosemaga kuwa mwanadamu ana uhuru wa kuchagua? Maana hapa unakubali mwenyewe kuwa hatuna uhuru.
Iweje sasa useme binadamu hana uhuru fulani?
kuchagua katika alivo huru navyo,kifo,usingizi,njaa..ni gereza ambalo binadam hawez kuwa huru nalo,ni utaratibu ambao hana budi kuufata,na si kwamba anaupenda..la hasha,hana namna
Wewe hujui hata maana ya uhuru. Na kama unajua maana yake usingeandika haya.
Makosa kama haya ndio tunayapigia kelele kila siku kwenye hivyo vitabu vyenu
naongea na mtoto wa umri gan?!
binadam hana uhuru huo,akiwa huru haswa hawi binadam anakuwa hayawani,ndomana waliohuru haswa wanang'ang'ana wanaume waoane na kukung'utana kama wewe na mpenzi wako,dhambi ni neno la kiarabu,maana yake 'kosa'..sasa kosa linategemea kwa mtazamo upi,kama wasioamin katika mungu muumba wa kila kitu kama wewe,ndo hukaa chini na kujipangia lipi kosa lipi sio
mi sio google kujibu hata maswali ya kipuuzi
Hili swali lako liko nje ya mada
Unaweza kutoa ushahidi wa haya machapisho yako ama umeamua tu kuropoka kwavile una kifurushi?
Binadamu wana uhuru sana na kama wewe huna uhuru kutokana na hofu yako ya hekaya za kale basi usiseme kuwa binadamu akiwa huru anakuwa hayawani.
Kumbe unategemea google kukujibia maswali! Sasa nimeelewa kwanini huna point mana hata hujui uitumie vipi google ili ikusaidie kupata majibu ya maswali yako.
kuchagua katika alivo huru navyo,kifo,usalivoingizi,njaa..ni gereza ambalo binadam hawez kuwa huru nalo,ni utaratibu ambao hana budi kuufata,na si kwamba anaupenda..la hasha,hana namna
Hii dhambi ina changamoto kubwa sana. Maana hata ukitamani tu tayari umeshafanya, na dhambi zote ni sawa, yaani ya kutamani na kufanya kabisa.
Kipi bora?
mimi na wewe nani mropokaj?..afu jazba za nini,jadili kiungwana tu,kama huna hoja za maana za kulinda upagan wako kaa kushoto..unataka ushahidi upi?
sasa Kutamani Burebure Tu, si Bora Ufunue Kabisa?...Yaan Kama Kutaman Kuiba Unafungwa Jela Na Kuiba Ni Adhabu Hiyohiyo! Bora Niibe Lakin Si Kuishia Kutaman Kuiba!
Afu = Halafu
Ha ha ha ha kumbe nina jazba? Asante kwa kunijulisha
Mbona niliweka wazi tu kuwa nataka ushahidi wa maneno yako uliyoandika mana ni wazi yametoka kwenye mawazo yako tu na hapa hatujadili mawazo ya mtu
Wewe ndo ambae huna hoja ndomana toka mwanzo unaruka ruka tu kama maharage yaliyo jikoni
nimekuuliza unataka ushahid wa maneno yangu yapi?nmeandka mengi
Niliyo quote tu, hayo mengine sina haja nayo
Rejea post husika utaona sehemu niliyotaka ushahidi
hata hayo uliyokariri ni mengi,sijui haswa ni lipi
Quote haimaanishi kukariri.