pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,710
- 6,372
Hebu tufumbuane akili hapa, kwa nini Mungu alikataza ngono? Ni kitu gani kinaifanya ngono iwe dhambi na kusugua meno, au kumshika mkono jinsia tofauti isiwe dhambi?
Je, kwa nini ngono si hatia kwa wanyama lakini ni hatia kwa wanadamu?
Ikapanuliwa tena, "ukimtazama mwanamke/mwanamume kwa kumtamani unazini nae" what is the exact context of it being sin and not other action?
Tujadili kama great thinkers wadau!
Hapo red hili ni swali gumu sana. Kwanini alikataza hilo swali alipaswa aulizwe mwenyewe. Huku ni kuingilia uhuru wa kimahakama ya Mungu.
Baada ya hapo tutajiuliza kwanini Mungu alikataza watu kulana tigo? Je kulana denda ni halali?? Je kunyonyana vikojoleo (kwa wanandoa) ni halali/haramu? Mungu alikataza wapi???
Huyu Mungu tumwache tu aendelee kuitwa Mungu.
Swali linaliza kwann Mungu alikataza.
Jibu ni, alikataza kwa faida yako.
Kwani hujawai kusikia mauwaji ya kikatili yanayohusishwa na wivu wa kimapenzi.
Mungu uliemtaja ndie aliekataza na kuweka sheria ya kupigwa viboko mia kama haujaoa/olewa au kupigwa mawe mpaka ufe kama umeolewa.nukta moja wala yodi moja ya sheria hii haitaondoka hata kama mbingu na nchi zitoweke.
Hivi ni wapi Mungu aliwaambia wanadamu hiki ni dhambi na hiki si dhambi?
Au ni wachache wanaojipa mamlaka za ku-judge wengine?
Na mwenye wake watatu wanne je? Hiyo dhana ya mwili Mmoja hapa inafanyaje kaz? Au hii Inakuwa "network "
Kama kweli ingekuwa dhambi basi watoto wa nje wasingalizaliwa na tena kwa nini hufanikiwa sana kulinganisha na wa ndani ya ndoa?
Sijui kwa upande wao maana hata majibu yangu nimeyatoa kutokana na bible
huko ndo ngono yenyewe ,mungu alimuumba adam na hawa si adam na hawa wakiwa saba period
Ohoooooo......
Ngoja wenyewe waje sasa hapatatosha hapa
Sijui kwa upande wao maana hata majibu yangu nimeyatoa kutokana na bible
Basi tukubaliane, Mungu pekee ndie anaejua kwann kakataza
Mungu amesema usizini maana yake ni kufanya ngono pasipo maagano au kujamiana pasipo maagano na yeye,endapo utafata taratibu za utukufu wake ya kwamba mpaka umpate mmoja tu ,ufunge naye ndoa na ukae naye mpaka kufa hapo unaruhusiwa na hapo ndo watu wawili kushare miili yao kuwa kitu kimoja kuleta kizazi kijacho ni tendo sensitive sana ndo maana malaika hawafanyi
Hebu tufumbuane akili hapa, kwa nini Mungu alikataza ngono? Ni kitu gani kinaifanya ngono iwe dhambi na kusugua meno, au kumshika mkono jinsia tofauti isiwe dhambi?
Je, kwa nini ngono si hatia kwa wanyama lakini ni hatia kwa wanadamu?
Ikapanuliwa tena, "ukimtazama mwanamke/mwanamume kwa kumtamani unazini nae" what is the exact context of it being sin and not other action?
Tujadili kama great thinkers wadau!
Vipi kuhusu wenye wake wanne?(hapo kwenye mwil mmoja)