BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 8,511
- 21,607
Kila aliye kwenye ndoa naye anajifanya mwalimu wa ndoa. Hata kama ndoa imemshinda lakini bado anang'ang'ana kuwa kungwi wa ndoa na kujifanya anagawa nasaha uchwara za ndoa.
Wizo mimi mkufunzi ngoja nifingue chuo cha MAFUNZO mponye ndoa zenu πππ
Tasoma baadae nikitulia kwanza ππππKati ya sekta huria ambazo kila kinyangarika yumo basi ni NDOA.
Hii "sekta" ya ndoa huwezi kujua mtaalamu ni yupi wala majnuni ni yupi. Kila mtu kawaka moto anajitia mjuvi, hapoi wala haboi.
Ukiingia mitandaoni na penginepo, kila Tom na Jeri anafundisha kuhusu ndoa. Hata wachungaji nao ati ni walimu wa ndoa.
Kila aliye kwenye ndoa naye anajifanya mwalimu wa ndoa. Hata kama ndoa imemshinda lakini bado anang'ang'ana kuwa kungwi wa ndoa na kujifanya anagawa nasaha uchwara za ndoa.
Nashauri sasa serikali iunde VETA MAALUMU ambamo watapikwa makungwi wa ndoa na wapewe vyeti kabisa vya kitaaluma ili kwamba tunapohitaji ushauri wa KITAALAMU kuhusu ndoa tuwafuate hao.
Hatutaki huu utaratibu wa kila kanjanja anayejiita padri au pasta au mtu aliye kwenye ndoa kujifanya anatoa mawaidha ya ndoa wakati sote tunajua hana huo ujuzi wala maarifa. Ni kujitutumua tu.
Huwezi kukuta kila mtu akijifanya wakili au injinia. Huko kuna utaalamu hapataki Toms and jerries.
Lakini kwenye ndoa kila mtu ni fundi na rabi. Alaaah!
MY TAKE: Hili nalo mkalitazame.
Heheheheee πππππ mwenzio nimeolewa mwaka wa saba huu, thubutuuu ππππWizo mimi mkufunzi ngoja nifingue chuo cha MAFUNZO mponye ndoa zenu πππ
Na nitaanza na yako, haiwezekani huolewi miaka 3 uko uchumba sugu
Hahaha. Matango pori.Siku zote 'ushauri wa bure' huwa hauna tija.
Ni lini Mungu aliwahi kuoa?Huoni wakinukuu vifungu vya mwanzilishi wa ndoa Sir God mwenyewe.
Lazima ndoa zifeli bila kufuata kitabu chake cha mwongozo
Hahaha. Hii ni VETA MAALUMU ya UKUNGWI.Bora hawa washauri wa kujitolea kuliko hao watakao toka veta, veta hihii nnayo ijua mimi?
ππππππππππ Nachota majiπππππ unafanyaje hapo baby
Ndoa si fani ya kitaaluma, inayopasa ushauri utoke kwa wahusika wenyewe. Kwamba ili utoe ushauri lazima uwe mbobevu.Kati ya sekta huria ambazo kila kinyangarika yumo basi ni NDOA.
Hii "sekta" ya ndoa huwezi kujua mtaalamu ni yupi wala majnuni ni yupi. Kila mtu kawaka moto anajitia mjuvi, hapoi wala haboi.
Ukiingia mitandaoni na penginepo, kila Tom na Jeri anafundisha kuhusu ndoa. Hata wachungaji nao ati ni walimu wa ndoa.
Kila aliye kwenye ndoa naye anajifanya mwalimu wa ndoa. Hata kama ndoa imemshinda lakini bado anang'ang'ana kuwa kungwi wa ndoa na kujifanya anagawa nasaha uchwara za ndoa.
Nashauri sasa serikali iunde VETA MAALUMU ambamo watapikwa makungwi wa ndoa na wapewe vyeti kabisa vya kitaaluma ili kwamba tunapohitaji ushauri wa KITAALAMU kuhusu ndoa tuwafuate hao.
Hatutaki huu utaratibu wa kila kanjanja anayejiita padri au pasta au mtu aliye kwenye ndoa kujifanya anatoa mawaiza ya ndoa wakati sote tunajua hana huo ujuzi wala maarifa. Ni kujitutumua tu.
Huwezi kukuta kila mtu akijifanya wakili au injinia. Huko kuna utaalamu hapataki Toms and jerries.
Lakini kwenye ndoa kila mtu ni fundi na rabi. Alaaah!
MY TAKE: Hili nalo mkalitazame.
Elewa neno mwanzilishiNi lini Mungu aliwahi kuoa?
Huyu ni muasisi wa single mama sababu 'alitupia' tu kwa mchumba wa mtu na kumtelekeza.