Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,632
safi hakuna habar za michango
Yeah, rafiki angu anafanya kazi huko. Ananiambia majority ya harusi za ghana hata michango hakuna.
safi hakuna habar za michango
..bali...?ishu sio kufunga ndoa
Nimewahi kuhudhuria ndoa nyingi za harusi lakini cha kushangaza ni kwamba nyingi hazidumu zinawahi kuvunjika. Hivi ni kwa nini?