Kwanini ndege hazina kioo cha pembeni (Side mirror)?

Kwanini ndege hazina kioo cha pembeni (Side mirror)?

lukelo sakafu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
2,938
Reaction score
517
wakuu vyombo vyote vya usafiri kama magari,pikipiki,baiskeli vina side mirror za kumuongoza dereva.lakini kwa nini ndege hazina SIDE MIRROR. mwenye kufahamu hili atujuze
 
Khaa! Mleta mada hakufanya uchunguzi wa kutosha kumbe!!!! Maana hata parachuti haina!!!
 
Umeenda mbali sana.. Ungeanza na kwanini boda boda hazina milango?
 
Na huko angani mbona hakuna traffic lights au round about?
 
Swali lina mantiki ila ndege huongozwa kwa mitambo maalum
 
ndege hazirudi reverse ndio maana
halafu huko angani hakuna foleni
 
Back
Top Bottom