Kwanini nchi za kiafrika zinapenda kushindanisha umaskini?

Kwanini nchi za kiafrika zinapenda kushindanisha umaskini?

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
10,959
Reaction score
13,426
Utasikia Bondeni au Afrika Kusini imeendelea. Mara Kenya iko juu sana ukanda huu na upuuzi mwingine mwingi.

Ukiziangalia nchi za kiafrika kwa makini, zote ni wagonjwa wa kiitwacho coloniality au mabaki na makandokando ya ukoloni.

Ni sawa na wadudu walio kwenye mfuko wa plastiki wakigombania hewa kiduchu. Mfuko huu s imwingine bali mipaka iliiyotengezwa na wakoloni kutugawanya na kutudhoofisha watunyonye.

Nililiona hlli juzi wakenya wakiwatukana watanzania kuwa hawajui kiingereza wakati wao hawakijui hicho kiingereza na kiswahili au ni waingereza.

Kwanini kushindanisha ujinga, umaskini, na upumbavu badala ya kubuni njia ya kujikomboa kwa kuiunganisha Afrika na kusonga mbele?
 
Back
Top Bottom