Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Hivi ni kwa nini kama ikijulikana tu Raisi Magufuli atakwenda mahali na kuongea kitu basi nchi nzima huwa karibia wiki nzima hujawa na shauku kubwa ya kutaka kusikia Raisi atasema nini..
Hii sijawahi ishuhudia tena katika maisha yangu hapa Tanzania, hata wale wasiompenda raisi Magufuli lakini siku wakisikia kaalikwa mahali na atahutubia basi wote hujawa na shauku katika kusikia atasema nini, Hivi ni kwa nini?