Concorde vipo kwenye mpango wa kurudishwa tena kazin kama zamanNadhani lengo la USA kwenda mwezini ilikuwa ni kushinda tu space race. Kwamba kwa kuwa Warusi wamekuwa wa kwanza kwenda angani basi sisi twende ambako hawajafika.
Ikumbukwe pia dunia iliwahi kuwa na supersonic passenger plane ila leo hatuna. Kwa hiyo tuconclude kwamba hakukuwahi kuwa na Tupolev Tu-144 au Concorde kisa leo hazipo na hamna ndege ya ku achieve supersonic speed?
Wakuu nimeona NASA wanaendelea kufanya majaribio ya kwenda Anga za mbali lakini sijawahi kuona tena wamefanya jaribio la kurudi mwezini toka enzi za akina Amstrong ,mwenye uelewa wa hili anijuze tafadhari
Cold war ndio ilichochea marekani kwenda mwezini.Baada ya cold war hakuna aliyetamani kurudi mweziniHakuna haja ya kurudi mwezini kisayansi, hivyo hakuna sababu ya kuhatarisha maisha ya watu. NASA walitua mwezini mara 6 kati ya 1969 na 1972.
valid questionWakuu nimeona NASA wanaendelea kufanya majaribio ya kwenda Anga za mbali lakini sijawahi kuona tena wamefanya jaribio la kurudi mwezini toka enzi za akina Amstrong ,mwenye uelewa wa hili anijuze tafadhari
Ni kweli, tangu lini bendera imapepea mahala ambako hakuna hewa? Pia nasikia kwenye video clip zao kulionekana kopo la Coca-Cola mchangani. Mambo ya Nevada hayo!
Sababu gan cold war adi ichochee hao marekani kwenda mweziniCold war ndio ilichochea marekani kwenda mwezini.Baada ya cold war hakuna aliyetamani kurudi mwezini
Kushindana umwamba kati ya Urusi na MarekaniSababu gan cold war adi ichochee hao marekani kwenda mwezini
Ni gharama sana kwenda mwezini.Mwaka1969 iligharami dola bilioni 20 kutua mwezini.Sababu gan cold war adi ichochee hao marekani kwenda mwezini