Kwanini naamini Mbingu ipo , Mungu na Pia Shetani

ifike mahala kila mtu ashike lake analoliamini 😂
 
Heri uamini Mungu yupo, uende usimkute, kuliko kutoamini yupo halafu umkute!
Kwa hyo upo tayari kuweka maisha yako yote, nini cha kula,kunywa,kuvaa mtindo mzima wa maisha yako kwa ajili ya bet kwamba huenda ukamkuta au usimkute
 
Kwa hyo upo tayari kuweka maisha yako yote, nini cha kula,kunywa,kuvaa mtindo mzima wa maisha yako kwa ajili ya bet kwamba huenda ukamkuta au usimkute
Mimi nimewaambia wasioamini binafsi sibet najua yupo na ninajitahidi kadri ya uwezo wangu kuweka baadhi ya mitindo yangu ninayoweza kujilimit ninayoshindwa basi rehema za bwana zinifunike☺️
 
Huyo Mungu angekuwepo kweli, wala kusingehitajika imani ya kuamini uwepo wake. Kila mtu angejua kwa uhakika kabisa kwamba kuna Mungu.

Ukiona imani inahitajka kuamini kitu fulani, fahamu kwamba kitu hicho ni hadithi za kusadikika tu. Hekaya za vitabuni.

Mbingu haipo.

Jehanam haipo.

Mungu hayupo.

Shetani hayupo.
 
Unajulikana kwa upoyoyo na ukosefu wa akili
 
Thibitisha unayoyasema au ndio tayari ushakunywa bia?
 
Hata sasa bado wanawake, pombe na dhahabu bado ni anasa za juu, sema labda waliotunga vitabu vya dini walikuwa wanaume ndio sababu ili kulinda wanawake wao na stability katika jamii.
 
Niambie umekalia nini?

Kama ni kiti,

Niambie umejuaje kuwa ni kiti.

Nani kakuambia hivyo.
 
Umesahau dhambi pia hazipo kiongozi 😹
 
Umesahau dhambi pia hazipo kiongozi 😹
Hakuna dhambi.

Sin is an imaginary disease invented to sell an imaginary cure.

It's like creating virus to sell Anti-virus.

Dhambi hazipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…