We vip? hata serikali hainunuwi magari ya hiyo miaka 2020 to 2022, hata Japan licha ya kutegeneza hizo gari uchumi wao hauwaruhusu kuendesha matoleo mapya, pake wana export new brand cars to Europe na America only to bring them back to refubricate en re-xport in third world, kwa level za Africa na Tz Kurruger sio gari ya bei ya chini ina rage 23m paka 30. wakati specio ist mazda in 12m rav4 18mBei nafuu mambo ya reliable ni fix tu
Wabongo tulowengi bado ni maskin tena maskin hasa ila tunapenda maisha mazuri apo ndo ttzo huanzia
Zunguka Dar Arusha Dodoma kwa ufupi majiji yote tafta gari za mwaka2020 ad2022 ni chache mno tena sana ila tafta gar za 1998 ad2014 izo ni ming sana
23-30m kwa engine ya 2AZ-FE cc2360Mkuu, saivi ni m ngapi hizo kluger
Umasikini unautafsirije boss, labda tuanzie hapo.Mtu umemalza sekondari 2005 to 2010 Mungu kakujalia ajira / kipato /pesa 2020 to toda afu unaenda kununua gar ya 2000 to 2014 af tunasema reliable akuna cha reliable ni umaskini tu ndo ttzo
Motivational speakers mmeshaanza.Mtu umemalza sekondari 2005 to 2010 Mungu kakujalia ajira / kipato /pesa 2020 to toda afu unaenda kununua gar ya 2000 to 2014 af tunasema reliable akuna cha reliable ni umaskini tu ndo ttzo
Duh Tako la nyani unauza mil 57 wkt Hio Forester unauza mil 50.Mwanza kluger & harrier hutuambii kitu.
Na hizo zipo sokoni Leta pay twende sawaView attachment 2290362View attachment 2290363
Kwa kua hio Gari umesema Ni Mercedes-Benz S-550 2015 model.Ngoja tusubiri wataalam.Nje ya mada wakuu, naomba kuuliza. Gari inaua sana Bearing ya mguu wa kushoto mbele tatizo inaweza kuwa nini. Msaad wenu please
Duu hapana mkuu wapi nimesema BenZ, ni Carina tu Boss nisaidieKwa kua hio Gari umesema Ni Mercedes-Benz S-550 2015 model.Ngoja tusubiri wataalam.
Kabisa.Ngara na Kigoma probax, aka michomoko
Bila kusahau pick up na vitara...😂😂😂Kama wa Chagga wanavo pendelea rav4 kili time sijui kwanini hilo kabila linapenda sana hiyo gari.
Niilimkuta mmoja dukani kwa mhindi anamwambia anahitaji blanketi kama ya MagangaJibu sahihi;
Wasukuma wanapenda kuiga alichonunua msukuma mwenzie.
Kama huna huo muongozo uwe unakaa kimya😁😁😁🤣Ngoja waje kukupa muongozo...
Statistically speaking kati ya magari 10 uliyoona barabarani mwanza mangapi ni kluger ?Habari wakuu,
Nimetembea majiji mbalimbali esp DSM,Arusha,Mbeya,Tanga na Mwanza Ila Mwanza magari Aina ya Kluger ni mengi Sana na Arusha kidogo afu wachina pia wanayatumia.Siri ya kutumia magari haya ni ipi?
View attachment 2290092
Hiyo engine inawatesa sana23-30m kwa engine ya 2AZ-FE cc2360
4 out of 10 as per statistics I observed during my holiday 14 days in a smoothly graceful and effortless mannerStatistically speaking kati ya magari 10 uliyoona barabarani mwanza mangapi ni kluger ?