Gamaha
JF-Expert Member
- Jul 17, 2008
- 3,815
- 4,861
Mkuu wewe ndio mshamba, Sisi Tanzania tuna lugha mbili za taifa Kiswahili na Kiingereza sasa kama mtu kaamua kutumia lugha moja wapo wewe unachukia ujue una shida...Wengi wao washamba tu mkuu..
Nimewahi kufatilia soka la ufaransa,
Mchezaji mgeni asiyejuwa kifaransa,, anahojiwa kwa kifaransa,,halafu mkalimani anatafsiri.
Mfano under herera mchezaji wa PSG akihojiwa anahojiwa kwa kifaransa,,na mkalimani anatafsiri kwa kispaniola.
Hapa kwetu ushamba na ujuwaji unatusumbuwa...
Kuongea kingereza ndy utaonekana mwandishi mzuri,,mbobezi.