Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,403
- 12,020
Niaje wana zengo???
Nimepitia mahusiano kadhaa.Lakini katika katika pitapita zangu kuna baadhi ya wanawake natokea kuwa feel sana.Natia nia ya kudumu nao hata kuoa.Sioni sababu ya kudanganya kuhusu maisha na hali ya kiuchumi.Asilimi 99.99999 hawanikubali kabisa.
Chakushangaza kwa asilimia150 ukiwaongopea hawa dada zetu hakika unakubalika kirahisi.Na baada ya kuliwa ndio wanajua ukweli halisi wa maisha yako..