uroto
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 445
- 231
Habari zenu wakuu,
Nina mpenzi wangu ambaye huu ni mwaka wa pili tupo kwenye mahusiano, Juzi usiku baada ya kumgegeda, akaniuliza hivi baby kwanini unapenda mpira wa miguu kiasi kwamba hua unaniacha peke yangu wewe unaenda kwenye mpira?
Nikamjibu kua "baada ya Mungu, wazazi ndo mpira kitu ninachokipenda"akaniuliza "kwahiyo mimi na mpira kipi unakipenda?"Mimi nikamjibu toka moyoni kwamba mpira kwanza wewe ndo unafata, cha ajabu tangu juzi amekasirika na amesema kama nahitaji kumgegeda, niugegede mpira.
Swali langu ni kwamba hivi ni kosa kumwambia mtu ukweli wa kutoka moyoni?
Karibuni