Kwenye hiyo picha wapi wameandika au kumaanusha kwamba mwanamke kumpenda mwanamke ninsexual disorder?Kasome urudi kufuta maneno yako,
Hiyo picha kwa mtu sharp angeelewa but what i spot out to you hiki ni kitu kigeni kwako,
Unahitaji lecture,
Soma uelewe pia kwa faida yako,
Utaelewa pia how lesbians and gays are evolved,
Soma urudi usipo elewa sema tukupe shule mkuu,
Haya mambo hayana mbwe mbwe.
Unalazimisha habari.Hii kitu waliosoma psychiatry watakucheka wakiona unavyobisha kitu ambacho kipo, ni sawa na kubisha kuwa malaria inasababishwa na mbu jike, ukidai uonyeshwe kifungu cha maneno ilihaki watu wanasoma kama topic
Hii sio sheria mkuu,
Kuwa tu mpole,
Watu na taaluma zao,
Ila swali halina uhusiano na taaluma yeyote ni social question, wewe ndio unaleta ujuaji kwenye professionalism
Hilo swali kila mmoja ana jibu lake, kwa hiyo huwezi kupata jibu moja.Wote hawana majibu ilihali wana waume zao, wanakimbilia kunukuu biblia wakati sisi tunataka uhalisia
Hii ni janja ya kukwepa mjadala,Unalazimisha habari.
Nimekuambia nipe palipoandikwa kwamba mwanamke kumpenda mwanamke ni sexual disorder.
Mpaka sasa hujanipa palipoanikwa hilo.
Unanionesha tu kwamba hujui kusoma na unalazimisha unachofikiri wewe nsiyo kiwe kimeandikwa kitabuni, wakati kitabu hakijaandika hilo.
Kitabu sina wakati nimeweka link ya pdf hapa?Hii ni janja ya kukwepa mjadala,
Huna kipya zaidi ya kubisha tu ilimradi unabisha, tena inawezekana hata kitabu huna,
Unachobisha hakina msingi wowote na hakiondoi ukweli,
Tafuta wataalam wa psychistry huko uliko waulize "mwanamke kumpenda mwanamke mwenzie ni disiorder?"
Ukitoka huko fananisha majibu na kwenye hicho kitabu then rudi hapa ujibu swali,
Ukishindwa basi tafuta source yeyote soma kuhusu sexuality disiorder
Asante.Hilo swali kila mmoja ana jibu lake, kwa hiyo huwezi kupata jibu moja.
Hata na sisi wanaume tukiulizwa kila mmoja atajibu jinsi anavyoona inafaa kwa mtazamo wake.
Wewe sababu ulizotoa ni za uongoAsante.
Nimeandika hili kitambo.
Lakini kuna vichwa vigumu kuelewa jambo dogo tu.
Vichwa vigumu kuliko nazi.
Hayo majibu ni yapi mkuu?Hilo swali kila mmoja ana jibu lake, kwa hiyo huwezi kupata jibu moja.
Hata na sisi wanaume tukiulizwa kila mmoja atajibu jinsi anavyoona inafaa kwa mtazamo wake.
Hapana. Nipe sentensi au paragraph inayosema mwanamke kumpenda mwanamke ni sexual disorder.Wewe sababu ulizotoa ni za uongo
Sasa unataka uchambuzi wa neno kwa neno wakati kitabu unacho?
Unataka niscreenshot topic yote?
Nikupe ya nini wakati kitabu unscho,Hapana. Nipe sentensi au paragraph inayosema mwanamke kumpenda mwanamke ni sexual disorder.
Sasa unataka nikufanyie argument yako wewe mwenyewe kwa uzembe wako?Nikupe ya nini wakati kitabu unscho,
Nakuuliza swali la mwisho,
Kwa mtizamo wako,
"Mwanamke kumpenda mwanamke mwenzie", ni normal au ni abnormal?
Kitabu kimeeleza kinaga ubaga, sema wewe ni mgumu kuelewa,Sasa unataka nikufanyie argument yako wewe mwenyewe kwa uzembe wako?
Unashusha mjadala sasa, kutoka"sexual disorder" ambayo umeona kwenye kitabu haijasemwa, mpaka "normal/ abnormal" ?
Umekubali kwanza kwamba kitabu hakijaandika kwamba mwanamke kumpenda mwanamke ni sexual disorder?
Wapi kitabu kimeeleza kinaga ubaga?Kitabu kimeeleza kinaga ubaga, sema wewe ni mgumu kuelewa,
Basi turudi kwenye hoja yako uliyoileta wewe mwenyewe,
"mwanamke kumpenda mwanamke mwenzie", kwa mtazamo wako ni kawaida au sio kawaida?
[emoji16]Wapi kitabu kimeeleza kinaga ubaga?
Una hakika kitabu kimeeleza kinaga ubaga au ni wewe unaona maruweruwe yaliyo kichwani mwako ukalazimisha kitabu iwe kinasema hivyo wakati kitabu hakijaandika hilo?
Weka mstari wa kutoka nukuu yako ya kutoka kwenye kitabu inayoeleza kwamba mwanamke kumpenda mwanamke ni sexual disorder.
Acha longolongo.
Hujajibu la "sexual disorder" kwa sababu umeona ulivyochemsha, unataka kubadili swali kwenda "kawaida"?
Ushakubali kwamba umechemsha kwenye "sexual disorder" kwanza?
Umekubali kwamba kitabu hakijaandika kwamba mwanamke kumpenda mwanamke ni sexual disorder?[emoji16]
Sasa kama haukielewi ulichokiandika mwenyewe,
Cha kwenye kitabu utakielewa vipi,
Hebu iangalie hoja yako
"mwanamke kumpenda mwanamke"
Nimekuuliza kwa mtizamo wako ni kawaida au sio kawaida?
H[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Bila nyege usingekuwepo wewe.
Hebu tafsiri hiyo screenshoot ya pili kwa uelewa wako umeilewaje?Umekubali kwamba kitabu hakijaandika kwamba mwanamke kumpenda mwanamke ni sexual disorder?
Hujamaliza mjadala huu, kwa nini unaukimbia na kukimbilia mwingine?
Kwa sababu umeshaona kwamba umechemka?
Sitaki kukuachia kwenye swali hili na kurukia jingine, wakati hili hujalimaliza bado.
Umekubali kwamba umechemka na kwa kuchemka kwako huko, unabadilisha swali sasa?