OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,139
- 12,915
MWANAMKE anampenda mwanaume asie nae kwenye MAPENZI/NDOA....yaan (MCHEPUKO) kwasababu moja kuu ya ASILI.Mwanamke anampenda mwanaume kwa sababu ya utajiri au pesa ?
Vipi kuhusu wake za matajiri wanaotoka kimapenzi na masikini ?
Je mwanamke anampenda mwanaume kwa sababu ya shoo nzuri na pumzi kunako 6*6 ?
Je vipi kuhusu ma askari na wapiga gym wanaojiua kisa wake zao kuchepuka ?
Mwanamke anampenda mwanaume aliyeanza nae kama rafiki kwa muda mrefu, wakasaidizana mambo mengi kama marafiki, wakafahamiana kwa kina, wakaendana kitabia kisha wakaingia kwenye mahusiano,
Huyo ndio mwanaume anayependwa na kukumbukwa na mwanamke nyakati zote ? .
Swali ni je kwanini mwanamke anampenda mwanaume ?
Pesa
Hili swali sio saizi yenu.pesa ivyo vingn mbwembwe tu...
Nalo neno tena hao waliolewa na wenye pesa, wanazichukua nakwenda kuwahonga makapuku, mwanamke ni kutii mwanaume ndiye wakumpenda mwanamkeHulka ya mwanamke si kupenda,ni viherehere vyetu tuu na kujipa majukumu yasiyo stahiki zetu...ndio maana vurugu haziishi kwenye mahusiano,.ukisema pesa wapo wenye nazo na bado wanagalagala kwa uchungu wa kutendwa..nk
Sawa mkuuHili swali sio saizi yenu.
Exactly,. Neno la Bwana limesema,."enyi waume wapendeni wake zenu....."na enyi wake watiini waume zenu..." Sasa hii vita itaisha tukifata misingi iliyokuwako.Nalo neno tena hao waliolewa na wenye pesa, wanazichukua nakwenda kuwahonga makapuku, mwanamke ni kutii mwanaume ndiye wakumpenda mwanamke
[emoji28] [emoji28] [emoji28] siku hizi ke ndiyo wanapenda , akiona me anaanza kuchokonoa [emoji1] [emoji1] [emoji1]Exactly,. Neno la Bwana limesema,."enyi waume wapendeni wake zenu....."na enyi wake watiini waume zenu..." Sasa hii vita itaisha tukifata misingi iliyokuwako.
Kwamba,MWANAMKE anampenda mwanaume asie nae kwenye MAPENZI/NDOA....yaan (MCHEPUKO) kwasababu moja kuu ya ASILI.
Nayo ni hii,
MWANAUME+MWANAMKE=
Mwili mmoja.
Hivo MWANAUME akiwa kwenye MAPENZI/MAHUSIANO na MWANAMKE hawi mwanaume tena(tuliaaaa staki matusi,utanielewa) anakua nusu-ME nusu-KE,kutokana na kubadilishana tabia na ke,....hivo MWANAMKE (psychologically) akikaa na ME mda mrefu huanza kumuona tofauti kabisaa na alivomuona mwanzo kabla hawajananiniii na kuanza kuona kama WANAUME wa nje ambao anakutana nao ndo vidume na "WANAUME-HALISI".
Wakuu hii kitu ni very spiritual sana,tuacheni kuwalaumu akina wanawake,wewe ukiamua kua nae/kuoa kabisaa,jua kua unafanya hivo " AT YOUR OWN RISK "
Yaaani hahaaa nimecheka kwa sauti,.ujue tunajitia umaarufu sometimes,.[emoji28] [emoji28] [emoji28] siku hizi ke ndiyo wanapenda , akiona me anaanza kuchokonoa [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Swali kwako,Hulka ya mwanamke si kupenda,ni viherehere vyetu tuu na kujipa majukumu yasiyo stahiki zetu...ndio maana vurugu haziishi kwenye mahusiano,.ukisema pesa wapo wenye nazo na bado wanagalagala kwa uchungu wa kutendwa..nk
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] kuomba kutolewa out, tena mme wa mtu unajiuliza kulikoni?Yaaani hahaaa nimecheka kwa sauti,.ujue tunajitia umaarufu sometimes,.