Blueboy Jr
JF-Expert Member
- Jan 9, 2024
- 411
- 607
Wajomba kuna uncle wangu ameowa huku ukanda wa pwani ni mwaka wa nne now hukuna mtoto.
Mwanamke hataki kushika mimba wala kuzaa naye mjomba anasema bado time. Afu kibaya kuna location kapin Mme kufika
Pesa ipo ameikuta na zingine wamepata wotee. Sasa shidah ake itakuwa nn wakuu.
behind the scen
The lady ana plan na another guy! Hence kapig pin.
Mgao wa mali business imegrow sanaa
Zereu nyingi danger day no.
Sasa sijui target yake ni ipi
Mjomba 1 wala 2 haikai haelewi afanye nn??
Ss tunatak tumwambia uncle amuache tu. Mbn wanawake ni wengi.
Karibu kwa ushauri na maoni.
#sio kila taabu ya dunia mtu amejitakia zingine zinakuja tu.