Kwanini mwanamke akikutega, usipomtongoza anakuchukia?

Kwanini mwanamke akikutega, usipomtongoza anakuchukia?

Usiombe mwanamke akupende wanasumbuwa hao ukimchunia ndo utachukiwaje Mara utaambiwa engine haifanyi kazi
 
Hamna namna ingine, na mnuniwe tuu. Kwa nini hutongozi yeye
 
Kuna demu alikuwa ananitaka na alionyesha baadhi ya signs kufikisha ujumbe wake kwangu ila sikuwa na habari. Sasa baada ya kuona sina mpango nae ndio ghafla naanza kuona amenibadilikia mara salamu sio kama za kawaida na mbaya zaidi nikasikia anawaambia wenzake kuwa mimi ni "Zuzu".

Kusema ukweli sikupendezwa na hilo jina hivyo ilinilazimu kutaka kujua ni kwanini demu ananiita mimi hivyo wakati akiwa na wenzake....Ndipo mmoja wa rafiki zake wa karibu akafunguka kwa kunieleza, "Unajua huyo "...." alikuwa anakutaka na baada ya kuona huna mpango nae ndio akaanza kukuita hilo jina".

Hivyo kwa maelezo haya nakazia hoja yako kuwa mademu uwa wanachukia sana kuona hawapati ile attention wanayoitaka.
 
Wasichana wanapenda attention. Unakuta msichana mwingine hata kama mna ukaribu wa kawaida akikuona unaongea au una ukaribu na msichana mwingine anaanza kukukaushia.
 
Wakuu,

Hivi huwa ikoje hii, yaani utakuta mwanamke anakutaka anajitahidi kukutega, anafanya viroja vyake mpaka anaishiwa ila kidume unakuta huna habari nae. Baada ya hapo akishagundua huna mpango nae, basi huanza kukuchukia sijui ni kwanini hili hutokea kwa wanawake.
Ajabu
 
Back
Top Bottom