Ilishawahi kuwepo nahisi.....Hebu tutengeneze post ya vituko vya mimba
Duu nimeshaweka tayari hii itakuwa featuring au colaboIlishawahi kuwepo nahisi.....
Ila sina uwakika nalo......unaweza kuchekDuu nimeshaweka tayari hii itakuwa featuring au colabo
Hapana ni kwa vile mwili unakuwa tayari ushazoea kutotoaMimba za kwanza mwanaume utaona rangi zote. Uzoefu wangu mama akiwa mjamzito na ana watoto wengine hadeki, hana demands za ajabu ajabu. Anafanya majukumu yake kama kawaida labda aumwe.
We Jamaa mbona unakimbia Bahati?
Yaani mtu anataka SEX kila siku halafu we unaenda Mkoani!
Mim nina jamaa yangu, Mkewe akiwa mjamzito tu, Mke hataki kumuona jamaa akiwa uchi. Basi hata kuoga jamaa akawa anaoga Gest iliyo mtaa wa pili kwa muda wa miezi 9.
Mbona bado sana siku atakuambia anataka kuonana na Obama!
Hapana ni kwa vile mwili unakuwa tayari ushazoea kutotoa
Ingwa nimetotoa watoto kadhaa mwili hauzoei kubeba mimba. Achana na mimba mkuu tunafanya kwa sababu hakuna jinsi lazima ifanyike.Hapana ni kwa vile mwili unakuwa tayari ushazoea kutotoa
ahaa baby wangu kwao mtoto wa mwisho so nisishangae akiwa anadekadeka nisikwazike au sio...?kudeka sio wote!
mimi mdogo wangu mtoto wa mjomba anafanya kazi hatari.. mimba miezi8
lakini sisi wenye asili ya kuwa watoto wa mwisho katika familia tunadekaga sana..
kama mwanaume huna moyo utajuta
ni vitabia tu vya mtu ikiwemo mimi...
pia wakati mwingine mimba zinachosha sana maana ni mzigo ule na unaleta mabadiliko mengi mwilini ..
pia jinsi mtoto utakavyo mlea ndivyo atakavyokua..
inaonekana ulihitaji mtt sana ,sasa anadeka anaona kashatimiza agano lake...
Hii kali
We Jamaa mbona unakimbia Bahati?
Yaani mtu anataka SEX kila siku halafu we unaenda Mkoani!
Mim nina jamaa yangu, Mkewe akiwa mjamzito tu, Mke hataki kumuona jamaa akiwa uchi. Basi hata kuoga jamaa akawa anaoga Gest iliyo mtaa wa pili kwa muda wa miezi 9.