Kwanini mwamba wa chitoholi aka KONDE GANG huwa anakosa tuzo

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,819
24,280
Wakuu kama kawaida Jana tumeshuhudia miamba mitatu ikiipeperusha bendera ya Tanzania kwenye tuzo hizi kubwa kabisa, miamba hii ni Rayvany mwakyusa, diamond platnumz na dada yetu mzee wa ninogeshe ....sasa swami ni kwamba mwamba wa chitoholi aka harmonize anafanya juhudi kubwa sana kimziki hapa Afrika lkn tuzo ni ngumu sana kupata kwa mfano ......mpaka sasa hv ana tuzo moja ya kimataifa aliyoipata kwa wimbo wa BADO...Je tatzo ni nin wakuu?
 
vurugu nyingi ila bado anakazi ya kufanya, tumpe miaka miwili ndo atakaa sawa, kwa sasa nayeye anajaribu kutrend anajaribu viugomvi, sasa havijaanza kumsaidia
Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
FOCUS!
Haangalii kujijenga kimataifa bali anaangalia kushindana na Mondi

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…