johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,918
- 141,883
- Thread starter
- #41
Mbowe anakaribia miaka ya Nyerere madarakani (24)Point sio kuachia nchi kwa hiari bali issue ni kwamba Nyerere alikuwa ni dikteta, sasa kukaa kwake miaka kibao madarakani na baadaye aliposoma alama za nyakati kisha akaamua asepe mapema sio kigezo cha kufuta udikteta wake kwenye uongozi wake.
Hata Mugabe watu walikuwa wanamshauri ajiondoe mapema kuepusha fedheha.