Kwanini Mwalimu Nyerere alikuwa anavaa sare za Mgambo badala ya Jeshi la Wananchi?

Nauliza tu hasa kwa wale wahenga Pascal Mayalla, Mrangi na Mmawia.

Hata mwaka ule tukienda Mutukula kumfurusha Nduli Amin Nyerere alikuwa anapigilia sare za mgambo.

Siku hizi mgambo wanashughulika zaidi na wamachinga siyo vita.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Mwalimu_Nyerere_Hakua_na_ushamba_Mwingi.jpg
 
Nauliza tu hasa kwa wale wahenga Pascal Mayalla, Mrangi na Mmawia.

Hata mwaka ule tukienda Mutukula kumfurusha Nduli Amin Nyerere alikuwa anapigilia sare za mgambo.

Siku hizi mgambo wanashughulika zaidi na wamachinga siyo vita.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Hakutaka kujionyesha na kujikweza alikuwa na Hofu ya MUNGU
 
Back
Top Bottom