inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,763
- 22,542
Kudharauliwa ni kinyume Cha kuheshimiwa...kutoheshimiwa si lazima utukanwe,bado hujaonesha faida ya kuheshimiwa na mwanao...na asipokuheshimu unapata hasara gani?..tuonesheKuheshimiwa Kuna faida nyingi sana...Tena sio Kwa mwanangu TU, natamani niheshimiwe na kila mtu. Kuheshimiwa Kuna faida nyingi ila faida kuu, ni kuwa ukiheshimiwa huwezi kufanyiwa mambo mabaya kama
Kutukanwa,Kuibiwa,Kupigwa,kudharauliwa,Kutengwa,nk. Nk.
Kumbuka sisi binadamu ni social primates ..yani tunaishi Kwa kutegemeana sana.
Turudi Kwa Mungu, yeye anatutegemea sisi? Jibu ni nadhani utasema ni Hapana.
Na kama ukisema ndiyo, Bado swali litabaki kuwa "Je sisi binadamu na Mungu tunaotegemeana, tupo Ulimwenguni Kwa Nini?"
Sasa sidhani utajibu hiyo ndio.
Tuendelee...Kama hapana Mungu hatutegemei...Sasa sisi ametuumba wa Nini??
Mimi binadamu sitegemei Simu ili niishi, lakini nimeunda simu inayowaka,inayotumia chaji,inayotachi(kama binadamu anavyokula na kusali) ili niitumie Kwa faida zangu binafsi kama Kuwasiliana,Kutunza kumbukumbu nk.
Kama simu Haina hizo faida siwezi kuinunua/kuiunda.
Sasa Mungu aliyetuumba sisi wanadamu na hatutegemei, Je ni kwanini alituumba? Tuna faida Gani kwake?
Na most importantly, Je hiyo faida tunayompatia Ina uhusiano wowote na Sababu ya yeye mwenyewe kuwepo???
Hapana sijakosea, mungu yupo ili kuwasimamia wanadamu ni mtazamo wa wanadamu juu ya uwepo wa mungu.Sasa mbona umesema Mungu yupo ili kumsimamia mwanadamu?
Nadhani ulikosea, Je kwanini sasa Unadhani Mungu yupo? Yeye ana Purpose Gani kuwepo?
Kwanini Mungu yupo?
.....Qur'an inasema tumeumbwa ili tuabudu.....
Mungu yupo ili kusimamia wanadamu wakae kwenye mstari, ni kama wazazi wanavyosimamia watoto wao wasiharibike.
Hakukuwa na error isipokuwa amevipa viumbe free will na ujuzi wa kutambua baya na jema lakini wanatakiwa na anawataka wafanye mema na yule mwenye kushinda huo mtihani atazawadiwa na aliyeshindwa ataadhibiwa.Kwahiyo aliumba kitu ambacho hakiwezi kujisimamia?
Kwenye uumbaji kulikuwa na "Error"??
#YNWA
..... free will na ujuzi .......
Kwanini mtu afanye mabaya?Kwahiyo unaumba kitu huku unakipa nafasi ya kuamua halafu kikiamua vibaya unakiadhibu?
Kwani alishindwa kuumba chenye kufanya mema tu ili iwe "correct and easy done" ???
#YNWA
Concept ya ibada ni Pana kwa muktadha wa uislam...na si swala/Sala tu!?Basi imeishia hapo?
Maana hata hicho kiti kipo kwa ajili ya kukaliwa ila "sometimes" hutumiwa kama nyenzon ya kusimamia kufikia vitu vya juu.
Sometimes kiti hutumika kama kiegemeo mlango ili mlango usijifunge.
Hicho ni kiti kilichoundwa kukaliwa.
Kwahiyo sisi tunatakiwa kuabudu tuu?
#YNWA
Tunayapiga yote Kwa mkupuo...Maana nikijua kwanini Mungu yupo ntajua na kwanini Mimi nipoUnauliza kwanini Mungu yupo!!--- badala ya kwanza kujiuliza wewe mwenyewe kwanini upo na ukipata jibu ndipo uulize juu ya Kwanini Mungu yupo.
Kwahyo Mungu ni mtazamo tu wa WanadamuHapana sijakosea, mungu yupo ili kuwasimamia wanadamu ni mtazamo wa wanadamu juu ya uwepo wa mungu.
Nje ya mtazamo wa mwanadamu mungu yupo bila sababu maalum ni kama reality itself.
Nikikuuliza wewe kwanini upo hai utajibu nini?
Okay umesema mwenyewe kutoheshimiwa sio lazima nitukanwe ..Inamaana unajua Kuna dalili zingine nyingi tu za kutoheshimiwa (ambazo nimetaja baadhi kama Kupigwa,kutukanwa,Kuibiwa,kusengenywa,kutosikilizwa,nk. Nk. Nk. Zipo nyingi sana.Kudharauliwa ni kinyume Cha kuheshimiwa...kutoheshimiwa si lazima utukanwe,bado hujaonesha faida ya kuheshimiwa na mwanao...na asipokuheshimu unapata hasara gani?..tuoneshe
Ukisengenywa unapoteza nini!?..bado hujaonesha faida ya kuheshimiwa!!...mwanao akikuheshimu unapata faida gani!?..tuonesheOkay umesema mwenyewe kutoheshimiwa sio lazima nitukanwe ..Inamaana unajua Kuna dalili zingine nyingi tu za kutoheshimiwa (ambazo nimetaja baadhi kama Kupigwa,kutukanwa,Kuibiwa,kusengenywa,kutosikilizwa,nk. Nk. Nk. Zipo nyingi sana.
Hizi zote dalili zote ni mbaya, na hakuna binadamu anayependa kufanyiwa hivyo...kwahyo hzio ni hasara za kutoheshimiwa ...Sasa faida ya kuheshimiwa ni kwamba utaepukana na hizo hasara.
Tunayapiga yote Kwa mkupuo...Maana nikijua kwanini Mungu yupo ntajua na kwanini Mimi nipo
Pole pole TU ..nmeandika hasara nyingi mpaka Kupigwa Kuibiwa ila umeona ya kuulizia ni kusengenywa.Ukisengenywa unapoteza nini!?..bado hujaonesha faida ya kuheshimiwa!!...mwanao akikuheshimu unapata faida gani!?..tuoneshe
Sawa basi, Ngoja niulize....Kwanini Binadamu tupo duniani?Wahenga walisema fimbo ya mbali haiui nyoka au hela iliyo mkononi ina thamani kuliko iliyopo kibindoni au hisani yaanzia nyumbani (charity starts at home) au ndege aliyekuwepo mkononi ni bora kule mia waliopo porini (a bird in hand worth hundred in bush).
Anza na wewe mwenyewe kujua kwanini upo duniani ??!!--- baada ya hapo you move a step further to ask other related questions.
Mbina jibu ni rahisi tu? Mungu yupo ili tumwabudu... Simple and clear...NB: Huu mjadala sio wa kubishana kama mungu yupo au hayupo.
Hapa ninataka kuwauliza Kwa upole wale tunaoamini tayari kuwa Mungu yupo...Je, kwanini yupo?
Yaani siulizi mungu ametokea wapi/ametokanaje...
Hapa naulizia Kuna ulazima Gani wa yeye kuwepo? na kwanini yupo?
Mfano mtu akiuliza kwanini viti vya kukalia vipo, huwezi kujibu kwasababu mbao zikikatwa na kuchongwa vizuri zinatengeneza kiti, hapa utakuwa umejibu viti vinatokanaje....jibu zuri ni kwasababu vinatufanya binadamu tukae na kupumzika, hivyo tumevitengeneza...Inamaana bila kuwepo binadamu wenye shida ya kukaa basi viti visingekuwepo...
Kwahyo napouliza kwanini Mungu yupo? Siulizii chimbuko lake ametokana na Nini, ila naulizia ni sababu Gani iliyompelekea/iliyomlazimu yeye awepo.
Kuna wanaosema Mungu yupo ili auumbe ulimwengu, kwahyo function kubwa ya Mungu ni kuumba na kuendesha ulimwengu.
Hilo jibu kwangu halitoshelezi kwakuwa, Ningeuliza kwanini Huu ulimwengu upo?, Kwani Kuna ulazima ulimwengu uumbwe?
Kama Kuna ulazima wa ulimwengu kuwepo, basi Inamaana ulimwengu una thamani kuliko Mungu, kama binadamu tulivyo na thamani kuliko viti. Maana sisi ndo tumeleta viti, basi Ulimwengu umemleta Mungu.(yaani kama ni lazima ulimwengu uwepo, basi ulimwengu ndio umemlazimu Mungu awepo kama ambavyo Nyumba zinawalazimu mafundi ujenzi kuwepo,Simu zinawalazimu wauza simu kuwepo,Magari yanawalazimu madereva kuwepo, wahalifu wanalazimu polisi kuwepo nk.)
Lakini common sense inakataa.
Ingewezekana TU kusiwe na chochote, Hamna Dunia,hamna,Nyota,Hamna sayari, na Hakuna Mungu.
Sasa kwakuwa hivi vitu vipo, Je ni kwanini vipo?
Na kama ingewezekana kusiwepo kitu,Je ni Nini kililazimisha Mungu awepo?
Na kama mungu alikuwepo kabla ya Ulimwengu, na hakulazimishwa kuumba ulimwengu (angeamua angeacha na kubaki mwenyewe) Je yeye kwanini yupo? Nini kilipekea yeye kuwepo?
Kwanini Mungu yupo?
Ndugu yangu acha kusikiliza habari za walimwengu, Mungu yupo taka usitake anaonana na watu live siku ya umauti. Kwanzia leo habari hizi za kutaka kumkimbia zikome.NB: Huu mjadala sio wa kubishana kama mungu yupo au hayupo.
Hapa ninataka kuwauliza Kwa upole wale tunaoamini tayari kuwa Mungu yupo...Je, kwanini yupo?
Yaani siulizi mungu ametokea wapi/ametokanaje...
Hapa naulizia Kuna ulazima Gani wa yeye kuwepo? na kwanini yupo?
Mfano mtu akiuliza kwanini viti vya kukalia vipo, huwezi kujibu kwasababu mbao zikikatwa na kuchongwa vizuri zinatengeneza kiti, hapa utakuwa umejibu viti vinatokanaje....jibu zuri ni kwasababu vinatufanya binadamu tukae na kupumzika, hivyo tumevitengeneza...Inamaana bila kuwepo binadamu wenye shida ya kukaa basi viti visingekuwepo...
Kwahyo napouliza kwanini Mungu yupo? Siulizii chimbuko lake ametokana na Nini, ila naulizia ni sababu Gani iliyompelekea/iliyomlazimu yeye awepo.
Kuna wanaosema Mungu yupo ili auumbe ulimwengu, kwahyo function kubwa ya Mungu ni kuumba na kuendesha ulimwengu.
Hilo jibu kwangu halitoshelezi kwakuwa, Ningeuliza kwanini Huu ulimwengu upo?, Kwani Kuna ulazima ulimwengu uumbwe?
Kama Kuna ulazima wa ulimwengu kuwepo, basi Inamaana ulimwengu una thamani kuliko Mungu, kama binadamu tulivyo na thamani kuliko viti. Maana sisi ndo tumeleta viti, basi Ulimwengu umemleta Mungu.(yaani kama ni lazima ulimwengu uwepo, basi ulimwengu ndio umemlazimu Mungu awepo kama ambavyo Nyumba zinawalazimu mafundi ujenzi kuwepo,Simu zinawalazimu wauza simu kuwepo,Magari yanawalazimu madereva kuwepo, wahalifu wanalazimu polisi kuwepo nk.)
Lakini common sense inakataa.
Ingewezekana TU kusiwe na chochote, Hamna Dunia,hamna,Nyota,Hamna sayari, na Hakuna Mungu.
Sasa kwakuwa hivi vitu vipo, Je ni kwanini vipo?
Na kama ingewezekana kusiwepo kitu,Je ni Nini kililazimisha Mungu awepo?
Na kama mungu alikuwepo kabla ya Ulimwengu, na hakulazimishwa kuumba ulimwengu (angeamua angeacha na kubaki mwenyewe) Je yeye kwanini yupo? Nini kilipekea yeye kuwepo?
Kwanini Mungu yupo?
That is neither simple nor clear, Far from it.Mbina jibu ni rahisi tu? Mungu yupo ili tumwabudu... Simple and clear...
Mimi sijasema Mungu hayupo ndugu yangu...Ninaamini yupo...ila Nataka kujua kwanini amekuwepo??Ndugu yangu acha kusikiliza habari za walimwengu, Mungu yupo taka usitake anaonana na watu live siku ya umauti. Kwanzia leo habari hizi za kutaka kumkimbia zikome.