Mapepo hayo. Matunda ya Kundalini hayoo. Ma dimon yame watawala.Unatafuta nini!?..namaanisha ukijua kwa nini yupo unapata nini?..unahitaji nini katika hilo?
Nitajua kwanini sisi tupo duniani.Unatafuta nini!?..namaanisha ukijua kwa nini yupo unapata nini?..unahitaji nini katika hilo?
Wafia dini hapo ndipo mnapofeli.Mapepo hayo. Matunda ya Kundalini hayoo. Ma dimon yame watawala.
Qur'an haijakuchimba biti,sijui biblia...binadam ana ukomo wa ung'amuzi.Nitajua kwanini sisi tupo duniani.
Ni swali la muhimu sana...ambalo hata wewe unatakiwa ujiulize... masheikh,wachungaji,misahafu visituchimbe biti tuogope kuuliza maswali ya muhimu hapa duniani,,,sisi kama binadamu.
Kwahyo Jibu lako ni kuwa binadamu hatuwezi kung'amua swali langu??Qur'an haijakuchimba biti,sijui biblia...binadam ana ukomo wa ung'amuzi...Kama ambavyo nyumbu kwa umoja wao dhidi ya Simba wasingeliwa ndivyo binadam na uelewa/upembuzi wa Mambo ulivyo kwake,ana ukomo..na Kama unataka kujua kwa nini upo hapa,Qur'an inasema tumeumbwa ili tuabudu
Kwa muktadha wa uislam 'ibada ni kufuata utaratibu uliowekwa'..Kuna ibada za hiyari Kama swala,kufunga(hiyari ya lazima) na Kuna ibada za lazima,kula,kulala,kuhema/pumua...ndiyo maana Qur'an inasema mtatuabudu mtake msitake,anapata faida gani.Kwahyo Jibu lako ni kuwa binadamu hatuwezi kung'amua swali langu??
Kwanini hatuwezi? Je Quran imesema hatuwezi kung'amua swali langu?
Kama tumeumbwa kuabudu...kwanini tunaabudu? Mungu anapata faida Gani na ibada zetu?
Ok, Niliuliza kwanini tumeumbwa ukasema ili tuabudu, nikauliza ibada ni Nini/Ina faida gani...Hapa umenijibu dhima/aina za ibada...nimeona umeweka dhima 3.Kwa muktadha wa uislam 'ibada ni kufuata utaratibu uliowekwa'..Kuna ibada za hiyari Kama swala,kufunga(hiyari ya lazima) na Kuna ibada za lazima,kula,kulala,kuhema/pumua...ndiyo maana Qur'an inasema mtatuabudu mtake msitake,anapata faida gani..Hilo anajua yeye,Qur'an inasema hii dhimma ya usimamili wa walimwengu(ukhalifa) ambayo binaadam aliikubali,wakipewa viumbe wote wakakataa lakini binaadam akaikubali
Tatizo unataka majibu yako na siyo Mambo yalivyo..inaelekea hujanielewa..faida nimesema anajua yeye,ni Kama wewe na mwanao,utataka akuheshimu,unapata faida gani akikuheshimu!?..unaweza kutuonesha faida ya mwanao kukuheshimu!?Ok, Niliuliza kwanini tumeumbwa ukasema ili tuabudu, nikauliza ibada ni Nini/Ina faida gani...Hapa umenijibu dhima/aina za ibada...nimeona umeweka dhima 3.
1.kuswali,kufunga,kuhiji nk.
2.Kula,kulala,kupumua nk.
3.Usimamizi wa Dunia.
Hapa ni sawa na mtu aulize kazi ya gari ni Nini wewe useme ni kuwaka,kuzungusha matairi,kuwasha taa,kupiga honi kunywa mafuta na kuwasha feni.
Unaposema binadamu tumeumbwa ili tupumue/tule ni sawa na kusema gari limeundwa ili linywe mafuta.
Mimi nishajua tayari kuwa gari linakunywa mafuta na kupiga honi na kuzungusha matairi (Binadamu anasali, anafunga,anakula,analala,anapumua,anasimamia Dunia)..Ninachotaka kujua ni kwanini gari linafanya yote hayo??,kwanini limetengenezwa??
Swali Nililouliza ni hivi: Je, binadamu tunazaliwa, tunapumua kuishi, tunasali,tunasimamia Dunia,tunakula na kulala na tunakufa....ili iweje?
Mungu alituumba tufanye yote hayo ili yeye apate faida Gani??
Na hiyo faida tukiijua inaweza(labda) kutupa mwanga wa kwanini huyo Mungu yupo.
Tatizo unataka majibu yako na siyo Mambo yalivyo..inaelekea hujanielewa..faida nimesema anajua yeye,ni Kama wewe na mwanao,utataka akuheshimu,unapata faida gani akikuheshimu!?..unaweza kutuonesha faida ya mwanao kukuheshimu!?
Kwahyo unachoniambia ni kwamba bila binadamu kuwepo duniani Mungu asingekuwepo...Maana angekosa binadamu wa kuwasimaia...Hivyo kusingekiwa na haja ya Mungu kuwepo?Mungu yupo ili kusimamia wanadamu wakae kwenye mstari, ni kama wazazi wanavyosimamia watoto wao wasiharibike.
Mungu alikuwepo kabla ya uwepo wa wanadamu.Kwahyo unachoniambia ni kwamba bila binadamu kuwepo duniani Mungu asingekuwepo...Maana angekosa binadamu wa kuwasimaia...Hivyo kusingekiwa na haja ya Mungu kuwepo?
Kama kazi yake kuu ni kutusimamia Wanadamu, kama ilivyo kazi ya madaktari ni kutibu wagonjwa, kusingekuwa na magonjwa kungekuwa na madaktari??
Kusingekuwa na Wanadamu wa kusimamiwa kusingekuwa na Mungu?