Utaambiwa unakufuru.... Hizi dini zinatufunga akili...Hili suala tulijadili kwa Logic..!
Iwapo tunaambiwa kusamehe mara sabini mara saba, inakuwaje hawa wasimalize tofauti zao sababu naona hivi vita vyao sisi nyasi tunaumia.
Okay unaweza kusema kwamba Shetani hajarepent (kuomba msamaha) ndio maana hajapewa msamaha, lakini je inamaanisha Mungu anapenda kuombwa ombwa na kunyenyekewa kiasi kwamba hatoi msamaha mpaka aombwe.
Na Je, Hadithi za Mwana Mpotevu, Je inamaanisha siku Shetani akirudi na kupiga magoti atasamehewa ? Au kuna Muda wa kuomba msamaha ukipita ndio basi.
Au baada ya kukaa Motoni kwa karne kadhaa huenda ukapita msamaha kama wa wafungwa na kila mtu akawa huru na sio hawa tu ambao walijinyima bata huku duniani ?
NB:
Kama kuna anayeweza kunielewesha haya logically kwa kanuni za imani yake naomba tujadili ( na sio kutumia kanuni za multiplication kwenye paraghraph moja na ya Pili kutumia kanuni za Addition) yaani inconsistency...!
Sijui kama ujuvi wangu au ninavyodhani najua mimi ndio unavyojua wewe...Unajua maana ya msamaha mkuu?
Naam watasema hivyo tena huenda wakaniombea kunitoa mapepo, ila wakati wanafanya hivyo nitashukuru wakinielewesha.Utaambiwa unakufuru.... Hizi dini zinatufunga akili...
Spirit realm iko perfect hivyo ukifanya kosa kule ni absolute choice ambayo haitokani na influence ya kitu cha nje ndio maana shetani hawezi kusamehewa pamoja na malaika wote walioamua kuungana naye.care to elaborate ?
Kwahio huyu Mungu Mpenda wote na Msamehe Makosa ambaye ni superior bila weaknesses zozote aliweka hii technicality ya kutokusamehe baadhi ya makosa?Spirit realm iko perfect hivyo ukifanya kosa kule ni absolute choice ambayo haitokani na influence ya kitu cha nje ndio maana shetani hawezi kusamehewa pamoja na malaika wote walioamua kuungana naye.
Ndio aliiweka kwasababu ni mazingira pureKwahio huyu Mungu Mpenda wote na Msamehe Makosa ambaye ni superior bila weaknesses zozote aliweka hii technicality ya kutokusamehe baadhi ya makosa?
Hapa ndio unatakiwa kuelewa maana ya kuzaliwa mara ya pili. Unakuwa na same spirit kama Yesu hivyo huwezi tena kuasi kwasababu utakuwa na asili ya kiungu.Na huku kitaa hio spirit realm ambayo ni perfect inapatikana wapi ? Kwahio huenda na wewe mtenda mema ukishafika mbinguni baada ya miaka kadhaa ukaamua kujitia ujuaje huenda uka-end up na kina Shetani ? Yaani the Struggle Continues ? (My way or the Highway)!!!!
Waliozaliwa mara ya pili hawaasi?Ndio aliiweka kwasababu ni mazingira pure
Hapa ndio unatakiwa kuelewa maana ya kuzaliwa mara ya pili. Unakuwa na same spirit kama Yesu hivyo huwezi tena kuasi kwasababu utakuwa na asili ya kiungu.
Akiwa duniani anaweza kuasi kwasababu anao mwili unaoweza kupata influence ya shetani.Waliozaliwa mara ya pili hawaasi?
Kwahio hawa malaika wenyewe hawakuzaliwa mara ya Pili ? Au hio Option ilikuwa haipo Na kama hii lock / stopper ilikuwepo tangia zamani si ingewekwa wakati anawaumba hawa mashetani ? Kuliko wenyewe kuwaacha na free spirit alafu wewe kupewa hii stopper ya kukuzuia kuasi...Ndio aliiweka kwasababu ni mazingira pure
Hapa ndio unatakiwa kuelewa maana ya kuzaliwa mara ya pili. Unakuwa na same spirit kama Yesu hivyo huwezi tena kuasi kwasababu utakuwa na asili ya kiungu.
Kwahio Binadamu wamepewa a free Pass fulani ambayo Shetani Hakupewa / Hapewi ?Akiwa duniani anaweza kuasi kwasababu anao mwili unaoweza kupata influence ya shetani.