Man Jau
JF-Expert Member
- Apr 8, 2011
- 461
- 682
Umeelezea vizuri mno quran na khadithi, ila maoni yako kwa Mungu ndio yana makosa.Turudi kwenye mada Mungu mwenyewe ndio alitaka shetani aasi na ili aje kua Mtihani kwa watu wake kupima imani zao na alijua. Kama ata asi before shetani alikua kiumbe ana sali kuliko malaika wote na yeye aliishi duniani kabla na sio kama wengi wanavyohisi kua ni malaika noo shetani ni kizazi cha majini kwa kua aliumbwa kwa moto na hakuumbwa kwa light kama ilivyo malaika..so kwanini Mungu anajua yajayo? Mungu alipomuumba Adam shetani alipatwa na wivu balaa na kuanza kukomplaini chini chini kipindi iko hata adama ajapuliziwa pumzi yani yupo tu kawekwa kama sanamu na alikaa hivyo kwa muda wa miaka kama 200 hivi bila kupuliziwa pumzi ya Mungu shetani wivu unamshika kwakua dunia anenda kukabidhiwa adam akawa anatoa madhaifu kiumbe gani yeye anaweza kupitia mdomoni akatokea upande wa pili yaani una tundu juu na chini. Sasa Mungu alijua kua shetani hata afiki ndio maana aliwaambia malaika wote wamsjudie Adam na wakafanya hivyo isikua huyo ibilisi..kwanini alikataa na hapo ndio uthibitisho kua yeye sio malaika hakuna malaika anayeweza kupinga amri ya mwnyezi Mungu..wameumbwa hivyo hawapingi. Kwa hio ana kazi maalum hapa dunian so isikupe taabu..
Reffernce fuatlia katka Quran na hadith
Alafu pia, kwa maelezo yako ni kuwa, shetani ni jini?
Nadhani maandiko ya kiislamu yanathibitisha kuwa Majini karibu yote yanamuabudu Allah, so, inakuaje hapa?
Nadhani unapaswa kuelewa kuwa hata zamani watu walikuwa wanaishi miaka mia nane hadi mia tisa. Mbona io hali haipo mpaka sasa? Unadhani ni Kwanini?