Kwanini Mukoko alipewa kadi nyekundu na Onyango akapewa kadi ya njano?

Hawa kenge wa yanga wengi hawafuatilii mpira huwa wanasimuliwa na mademu zao tu.Hakumbuki hata Nigeria tulishinda ugenini
Unafatilia mpira kwa kina bwashee, Simba CAFCL hakuna mechi aliyofunga ugenini kweli au ile mechi ya As Vital 0-1 Simba kule Congo ilifutwa?
 
Hayafanani.Tatizo mpira huwa hamuangalii.
AS Vita msimu uliopita haikuwa kwwnyえ

Haijalishi kama Yanga wangepewa kadi nyingi kiasi gani kama ni halali ni halali TU. Tunachosema ni zile adhabu walizopewa mukoko na onyango wakati wote wametenda dhambi inayofanana wakakti mwamuzi yuko uwanjani.

Kwanini mwamuzi hakupiga filimbi wakati Bocco anamparamia Mukoko kutoka nyuma?
 
Huyo dogo ni utopolo si ajabu hata si mwanaume huyu.Maana ubishi wanaofanya ni wa kike mno.
Terry wa Chelsea aliwahi kupigwa buti hadi kuzimia lakini haikutoka kadi!So usikariri,nitafutie tukio la kusukuma ambalo mchezaji alipewa kadi Nyekundu!Tafuta lolote tu!
 
We mjomba yanga kabisa kama umeona lile tukio Yakouba alifaa kupewa nyekundu maana alimchezea rafu yule mchezaji wa simba aliekua chini nimemsahau alikua nan af baada ya hapo konde boy akataka kucheza free kick unakumbuka Yacouba alimfanya nini pamoja na kumsukuma konde boy zaid ya mara mbili je konde boy alimkosea nini? Nadhan ndo sabab ya onyango nayeye kuja kumpush lakn yacouba hakupewa hata kadi. Umeelewa vema kama unakumbukumby
Kwenye mpira hakuna retaliation, kulipiza Kwenye Mpira haimaanishi huna hatia
 
Ngoja niwasaidie wakati mnajiandaa na champions ijayo.

Kwanza Jiulizeni ni kwanini timu zilizofungwa na Simba hapa Dar es Salaam ndizo zilizocheza finali champions?
Kwa akili za kawaida Simba imezifunga timu zote zilizocheza finali basi Simba ndio ingekuwa sahihi kwa fanali na ubingwa. Lakini kwanini imeishia pale ilipoishia?

Majibu yake ni rahisi tu, ambayo ni ama:

1. Simba imecheza na timu dhaifu kwenye ligi ya nyumbani, yaani sio kipimo sahihi kwao. Mfano, kwenye ligi kulikuwa na Yanga ambayo kwa miaka 4 mfululizo ilikuwa inakinga bakuli kupata fedha, wachezaji wanagomea mazoezi na mechi, makocha na wachezaji hawalipwi mishahara yao, makocha na wachezaji wanabadilishwa kila wakati, hivyo Simba kuifunga Yanga ya hivi hakikuwa kipimo sahihi kwa simba iliyo kamili idara zote. Kwenye ligi kulikuwa na IHEFU, Mwadui, Polisi, KMC, Gwambina, Namungo, nk ambazo zisingeweza kutoa ushindani kwa Simba yenye kikosi kipana cha professionals.

2. TFF na marefa na viongozi wakuu wa nchi waliipandisha mabega Simba na kuipa matumaini feki ("false hope") kwa kuwasifu, kuwapangia ratiba na waamuzi rafiki na kutumia fedha za mfadhili dhidi ya wachezaji wa timu nyingine na marefa ambao walikuwa hawalipwi stahiki zao. Hivyo timu ilikuwa inaonekana inashinda kumbe iko juu ya mabega ya watu (unfair competition). Ushahidi wa hili ni Simba kuweza kuwashawishi viongozi wakuu wa nchi kwenda uwanjani kuona mpira biriani dhidi ya timu dhaifu za ligi kama Yanga ya kuungaunga wachezaji na makocha.

3. Inawezekana ndani ya vyumba kubadilishia nguo wageni kwenye viwanja vyetu kulikuwa na "namna" inayotendwa (no evidence), mungu anajuwa, au ni maswala ya muda tu itakuja kufahamika.

4. Kufika kwao rpbo finali ilikuwa fluke tu; chance, good luck, good day. Ndio maana siku nyingine inafungwa na Mwadui, Yanga mbovu, Ruvu, Kagera pamoja na kuwa na fedha, kocha mzuri na wachezaji wazuri relatively.
Ypu have been totally utopolized...
 
Ypu have been totally utopolized...
Kuna uwezekano mnacho kitengo ndani ya kamati ya ufundi kinachohusika na kunyong'onyesha nguvu za wapinzani wanapokuwa kwenye uwanja wa Nkapa,alahu yalamu. Hapo ndipo ukaibuka msemo wa kila mtu ashinde kwao.

Nilishawahi kuandika humu kuwa Simba wakati wanakabiliwa na mechi za ndani na za kimataifa waliunda kamati na kutenga fedha kwaajili ya mashindano ya ligi ya VPL, pesa ndizo zilizokwenda kwa waamuzi, wachezaji kama akina Mnata, Lamine na wengine ambao ama walicheza chini ya kiwango au waliigiza kuumwa ili wasipangwe mechi muhimu muhimu kwenye ili timu zitoke sare au zifungwe. Hapo ndipo ukaibuka msemo wa kila mtu ashinde zake.
 
We jamaa utakuwa chakula ya mtu unaimba taarabu kabisa

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ni kwa sababu ya rangi za jezi zao yaani Mukoko alivaa jezi ya njano ikabidi apewe kadi nyekundu na Onyango alivaa jezi nyekundu ikabidi apewe kadi ya njano!
 
Kuna uwezekano mnacho kitengo ndani ya kamati ya ufundi kinachohusika na kunyong'onyesha nguvu za wapinzani wanapokuwa kwenye uwanja wa Nkapa,alahu yalamu. Hapo ndipo ukaibuka msemo wa kila mtu ashinde kwao.

Nilishawahi kuandika humu kuwa Simba wakati wanakabiliwa na mechi za ndani na za kimataifa waliunda kamati na kutenga fedha kwaajili ya mashindano ya ligi ya VPL, pesa ndizo zilizokwenda kwa waamuzi, wachezaji kama akina Mnata, Lamine na wengine ambao ama walicheza chini ya kiwango au waliigiza kuumwa ili wasipangwe mechi muhimu muhimu kwenye ili timu zitoke sare au zifungwe. Hapo ndipo ukaibuka msemo wa kila mtu ashinde zake.
Kiukweli we jamaa hueleweki hata unataka nini. Unalaumu kuhusu kadi ya njano, mara kununua refa, mara mechi za ligi, mara kimataifa..... Hii ni moja ya dalili za psychosis inaitwa flight of ideas.

Una upenzi na team ambayo haifanyi vizuri so matatizo yako na team yako una"project" kwenda simba.

Ushaelezwa onyango alipewa kadi ili tu kubalance mchezo maana vilevile yacouba alistahili kadi kama ya onyango, hakuna timu inaongoza kwa kulia hapa bongo kama yanga. Imagine zile penalty mbili zingetolewa, kadi za njano karibia timu nzima ingepata ila refa alikuwa upande wenu mnasema simba imebebwa.

Yaani wenzenu wako live kucheza soka nyie kulialia tu. Tengenezeni timu acheni kutafuta huruma na visababu vya kijinga.
Unakera sana jamaa unang'ang'ania wakati ushaelezwa kisheria kabisa ila unalazimisha.
 
timu isiyofanya vizuri ndiyo inastahili wachezaji wake kuonewa? suluali kipande wewe!!
 
Back
Top Bottom