Kwanini Mukoko alipewa kadi nyekundu na Onyango akapewa kadi ya njano?

Ndiyo maana kuna mwamuzi uwanjani, hata kama Yacouba angepewa kadi nyekundu kwa kosa lake sio vibaya ilimradi adhabu imetolewa na mwamuzi badala ya onyango kuamua yeye aina ya adhabu ya Yacouba. Kosa la mukoko na onyango yanafanana kabisa, tofauti ni ilikuwa Bocco alijichelewesha kuamka ili kumhadaa mwalimu kuwa aliumia sana na Yacouba aliwahi kuamka kutoka chini kuonyesha kuwa hajaumia sana. Lakini kama Yacouba nae angechelewa kuamka na kuanza kugalagala chini huku akishikilia kidogo chake kuwa amekibamiza chini ili kumhadaa mwamuzi unadhani asingetoa red card kwa onyango pasingechimbika pale?
Yaani usukumwe vile alafu ugalagale, yakouba sasa ndio angekula kadi ya njano
 
AS Vita msimu uliopita haikuwa kwwnyえ

Haijalishi kama Yanga wangepewa kadi nyingi kiasi gani kama ni halali ni halali TU. Tunachosema ni zile adhabu walizopewa mukoko na onyango wakati wote wametenda dhambi inayofanana wakakti mwamuzi yuko uwanjani.

Kwanini mwamuzi hakupiga filimbi wakati Bocco anamparamia Mukoko kutoka nyuma?
We jamaa ni zezeta kumbe
 
A.S Vita ilifugwa nje ndani.
Plateau ya Nigeria ilifugwa kwao Nigeria.
Ndio maana Mwanachama wenu aliwaita UTOPOLO.
Ngoja niwasaidie wakati mnajiandaa na champions ijayo.

Kwanza Jiulizeni ni kwanini timu zilizofungwa na Simba hapa Dar es Salaam ndizo zilizocheza finali champions?
Kwa akili za kawaida Simba imezifunga timu zote zilizocheza finali basi Simba ndio ingekuwa sahihi kwa fanali na ubingwa. Lakini kwanini imeishia pale ilipoishia?

Majibu yake ni rahisi tu, ambayo ni ama:

1. Simba imecheza na timu dhaifu kwenye ligi ya nyumbani, yaani sio kipimo sahihi kwao. Mfano, kwenye ligi kulikuwa na Yanga ambayo kwa miaka 4 mfululizo ilikuwa inakinga bakuli kupata fedha, wachezaji wanagomea mazoezi na mechi, makocha na wachezaji hawalipwi mishahara yao, makocha na wachezaji wanabadilishwa kila wakati, hivyo Simba kuifunga Yanga ya hivi hakikuwa kipimo sahihi kwa simba iliyo kamili idara zote. Kwenye ligi kulikuwa na IHEFU, Mwadui, Polisi, KMC, Gwambina, Namungo, nk ambazo zisingeweza kutoa ushindani kwa Simba yenye kikosi kipana cha professionals.

2. TFF na marefa na viongozi wakuu wa nchi waliipandisha mabega Simba na kuipa matumaini feki ("false hope") kwa kuwasifu, kuwapangia ratiba na waamuzi rafiki na kutumia fedha za mfadhili dhidi ya wachezaji wa timu nyingine na marefa ambao walikuwa hawalipwi stahiki zao. Hivyo timu ilikuwa inaonekana inashinda kumbe iko juu ya mabega ya watu (unfair competition). Ushahidi wa hili ni Simba kuweza kuwashawishi viongozi wakuu wa nchi kwenda uwanjani kuona mpira biriani dhidi ya timu dhaifu za ligi kama Yanga ya kuungaunga wachezaji na makocha.

3. Inawezekana ndani ya vyumba kubadilishia nguo wageni kwenye viwanja vyetu kulikuwa na "namna" inayotendwa (no evidence), mungu anajuwa, au ni maswala ya muda tu itakuja kufahamika.

4. Kufika kwao rpbo finali ilikuwa fluke tu; chance, good luck, good day. Ndio maana siku nyingine inafungwa na Mwadui, Yanga mbovu, Ruvu, Kagera pamoja na kuwa na fedha, kocha mzuri na wachezaji wazuri relatively.
 
Mk
Sawa kabisa, kinachotakiwa ni mwamuzi atende haki bila kujali ametoa red cards ngapi. Lakini, kosa aliotenda Mukoko kwa Bocco linafanana kabisa (replica) na kosa alilotenda Onyango kwa Yacouba lakini refa katoa adhabu tofauti. Tena wachezaji wote ni professionals ambao walitakiwa kuonyesha vijana wetu maana ya kuwa professional footballer nje na ndani ya uwanja.
Mkuu hujui sheria za mpira halafu unakuwa mbishi!Kosa lolote la kupiga kwa kutumia Kichwa,mkuu au mkono hiyo inaingia kwenye Serious foul play na adhabu yake ni kadi nyekundu!Na kosa Mukoko linaingia hapo!
Lakini kosa la Onyango linaingia kwenye reckless foul play,adhabu yake ni kadi ya njano!
Ingekuwa kama usemavyo wewe basi kila siku watu wangekula kadi nyekundu maana hata wakati wa kona watu husukumana sana na wakati mwingine refa kusimamisha mchezo na kutoa onyo!
Ila tukio lolote la kupiga,halina mjadala!Ni umeme tu!Rooney unakumbuka alikula umeme kwa kumpiga Ronaldo England vs Portugal?Unakumbuka Zidane alivyompiga Materrazi akala kadi nyekundu France vs Italy?
Hebu weka hapa tukio ambalo mchezaji alimsukuma Opponent na akapewa straight red card!!!!!

Fanyeni tafiti kidogo kabla ya kuleta uzi hapa!
Kwa ufafanuzi zaidi,subiri kipyenga cha mwisho kutoka kwa Othuman Kazi,mwamba wa sheria za mpira!Kipindi kipo kesho azam sports 1 kuanzia Saa 3:30 usiku,mechi ya Simba vs Yanga itachambuliwa vyema!
 
AS Vita msimu uliopita haikuwa kwwnyえ

Haijalishi kama Yanga wangepewa kadi nyingi kiasi gani kama ni halali ni halali TU. Tunachosema ni zile adhabu walizopewa mukoko na onyango wakati wote wametenda dhambi inayofanana wakakti mwamuzi yuko uwanjani.

Kwanini mwamuzi hakupiga filimbi wakati Bocco anamparamia Mukoko kutoka nyuma?
Hukuona mpira ulipigwa kuelekea Simba baada ya Mukoko kupewa kadi Nyekundu?Kweli utopolo mna tabu sana!
 
Mk

Mkuu hujui sheria za mpira halafu unakuwa mbishi!Kosa lolote la kupiga kwa kutumia Kichwa,mkuu au mkono hiyo inaingia kwenye Serious foul play na adhabu yake ni kadi nyekundu!Na kosa Mukoko linaingia hapo!
Lakini kosa la Onyango linaingia kwenye reckless foul play,adhabu yake ni kadi ya njano!
Ingekuwa kama usemavyo wewe basi kila siku watu wangekula kadi nyekundu maana hata wakati wa kona watu husukumana sana na wakati mwingine refa kusimamisha mchezo na kutoa onyo!
Ila tukio lolote la kupiga,halina mjadala!Ni umeme tu!Rooney unakumbuka alikula umeme kwa kumpiga Ronaldo England vs Portugal?Unakumbuka Zidane alivyompiga Materrazi akala kadi nyekundu France vs Italy?
Hebu weka hapa tukio ambalo mchezaji alimsukuma Opponent na akapewa straight red card!!!!!

Fanyeni tafiti kidogo kabla ya kuleta uzi hapa!
Kwa ufafanuzi zaidi,subiri kipyenga cha mwisho kutoka kwa Othuman Kazi,mwamba wa sheria za mpira!Kipindi kipo kesho azam sports 1 kuanzia Saa 3:30 usiku,mechi ya Simba vs Yanga itachambuliwa vyema!
Kusukumana wakati wa kugombea au kuwania mpira ni jambo lingine na kumkuta mchezaji ambae hamkabani amesimama bila mpira na kumsukuma hadi akajipamiza chini ni jambo lingine. Yaani mchezaji akimkuta refa amesimama uwanjani akamsukuma hadi akaanguka chini hilo sio shambulio na sio kosa?. Kama alichofanya Onyango halikuwa kosa kwanini alipewa kadi? Katumia kifungu gani kutoa ile kadi ya njano? Huwezi kumsukuma mtu akaumia vibaya?
 
Hata Mukoko alimkumbusha refa ambae hakutimiza majukumu yake kuhusu kitendo alichofanyiwa na Bocco sawa na alivyofanya onyango.
Filimbi ilishapigwa Boko kafanya faulu ila uhuni wa mchezaji wenu ndio ulisababisha apewe kadi yanga wenye akili wanaelewa refa alikuwa sahihi
 
Kusukumana wakati wa kugombea au kuwania mpira ni jambo lingine na kumkuta mchezaji ambae hamkabani amesimama bila mpira na kumsukuma hadi akajipamiza chini ni jambo lingine. Yaani mchezaji akimkuta refa amesimama uwanjani akamsukuma hadi akaanguka chini hilo sio shambulio na sio kosa?. Kama alichofanya Onyango halikuwa kosa kwanini alipewa kadi? Katumia kifungu gani kutoa ile kadi ya njano? Huwezi kumsukuma mtu akaumia vibaya?
Nimesema kosa alilofanya Onyango ni Reckless foul play,na adhabu kwa reckless foul play ni kadi ya njano!
Kosa la kupiga,hii inaingia kwenye Serious foul play!Na adhabu yake ni kadi nyekundu!
Kwa kukujulisha tu,kuna aina za foul!
-Reckless foul play
-Dangerous foul play
-Serious foul play
Kazisome hizo fouls kwenye sheria za FIFA then urudi hapa na utakuwa umeongeza maarifa badala ya kuwa mbishi!
 
Ngoja niwasaidie wakati mnajiandaa na champions ijayo.

Kwanza Jiulizeni ni kwanini timu zilizofungwa na Simba hapa Dar es Salaam ndizo zilizocheza finali champions?
Kwa akili za kawaida Simba imezifunga timu zote zilizocheza finali basi Simba ndio ingekuwa sahihi kwa fanali na ubingwa. Lakini kwanini imeishia pale ilipoishia?

Majibu yake ni rahisi tu, ambayo ni ama:

1. Simba imecheza na timu dhaifu kwenye ligi ya nyumbani, yaani sio kipimo sahihi kwao. Mfano, kwenye ligi kulikuwa na Yanga ambayo kwa miaka 4 mfululizo ilikuwa inakinga bakuli kupata fedha, wachezaji wanagomea mazoezi na mechi, makocha na wachezaji hawalipwi mishahara yao, makocha na wachezaji wanabadilishwa kila wakati, hivyo Simba kuifunga Yanga ya hivi hakikuwa kipimo sahihi kwa simba iliyo kamili idara zote. Kwenye ligi kulikuwa na IHEFU, Mwadui, Polisi, KMC, Gwambina, Namungo, nk ambazo zisingeweza kutoa ushindani kwa Simba yenye kikosi kipana cha professionals.

2. TFF na marefa na viongozi wakuu wa nchi waliipandisha mabega Simba na kuipa matumaini feki ("false hope") kwa kuwasifu, kuwapangia ratiba na waamuzi rafiki na kutumia fedha za mfadhili dhidi ya wachezaji wa timu nyingine na marefa ambao walikuwa hawalipwi stahiki zao. Hivyo timu ilikuwa inaonekana inashinda kumbe iko juu ya mabega ya watu (unfair competition). Ushahidi wa hili ni Simba kuweza kuwashawishi viongozi wakuu wa nchi kwenda uwanjani kuona mpira biriani dhidi ya timu dhaifu za ligi kama Yanga ya kuungaunga wachezaji na makocha.

3. Inawezekana ndani ya vyumba kubadilishia nguo wageni kwenye viwanja vyetu kulikuwa na "namna" inayotendwa (no evidence), mungu anajuwa, au ni maswala ya muda tu itakuja kufahamika.

4. Kufika kwao rpbo finali ilikuwa fluke tu; chance, good luck, good day. Ndio maana siku nyingine inafungwa na Mwadui, Yanga mbovu, Ruvu, Kagera pamoja na kuwa na fedha, kocha mzuri na wachezaji wazuri relatively.
Uto we ni zezeta
 
Mk

Mkuu hujui sheria za mpira halafu unakuwa mbishi!Kosa lolote la kupiga kwa kutumia Kichwa,mkuu au mkono hiyo inaingia kwenye Serious foul play na adhabu yake ni kadi nyekundu!Na kosa Mukoko linaingia hapo!
Lakini kosa la Onyango linaingia kwenye reckless foul play,adhabu yake ni kadi ya njano!
Ingekuwa kama usemavyo wewe basi kila siku watu wangekula kadi nyekundu maana hata wakati wa kona watu husukumana sana na wakati mwingine refa kusimamisha mchezo na kutoa onyo!
Ila tukio lolote la kupiga,halina mjadala!Ni umeme tu!Rooney unakumbuka alikula umeme kwa kumpiga Ronaldo England vs Portugal?Unakumbuka Zidane alivyompiga Materrazi akala kadi nyekundu France vs Italy?
Hebu weka hapa tukio ambalo mchezaji alimsukuma Opponent na akapewa straight red card!!!!!

Fanyeni tafiti kidogo kabla ya kuleta uzi hapa!
Kwa ufafanuzi zaidi,subiri kipyenga cha mwisho kutoka kwa Othuman Kazi,mwamba wa sheria za mpira!Kipindi kipo kesho azam sports 1 kuanzia Saa 3:30 usiku,mechi ya Simba vs Yanga itachambuliwa vyema!
Hawa utopolo shule hamna unahangaika bure
 
Wajuzi wa mpira hebu tufafanulieni humu kuhusu ubaya na ukubwa wa makosa waliyofanya Mukoko na Onyango wakati wa mechi ya Simba na Yanga kule kigoma.

Bocco alimfanyia madhambi Mukoko, badala ya kumuachia refa aamue atoe adhabu gani akajichukulia sheria mkononi ya kumpiga kiwiko Bocco na mwamuzi akamtoa nje kwa kadi nyekundu straight.

Yakuba alimfanyia makosa mchezaji wa Simba badala ya refa kumwadhibu Yacouba akatokea Onyango akamwangusha chini Yakuba kwa kumsukuma kwa nguvu na akaadhibiwa kwa kupewa kadi ya njano na kuendelea kucheza.

Swali hapa ni je, tofauti Kati ya kosa la Mukoko na kosa la Onyango ni nini?

Onyango alimsukuma mtu ambae hakumkosea yeye, Mukoko alimpiga kiwiko mtu ambae alimchezea rafu.

Bocco angeweza kuumia vibaya kutokana na kiwiko Cha makusudi na Yakuba angeweza kuumia vibaya kama angepiga kichwa chini pia.
Nendeni mkashitaki CAS ili Simba wanyang'anywe lile kombe.
 
Hili ndilo tatizo kubwa kwa mashabiki wa Yanga,kuangalia na kuamua Mambo ya soka kishabiki,vp like tukio la Mwamnyeto dhidi ya Luis Miqissoun ndani ya penalty box? ni Nani alistahili kadi?vp Adeyun Salehe dhidi ya Miqissoun?refa angekuwa fear yanga wangepata kadi za njano zaidi walizozipata,pia wangefungwa goli zaidi ya mbili,andaaeni litimu lako lenu bovu
 
Nimesema kosa alilofanya Onyango ni Reckless foul play,na adhabu kwa reckless foul play ni kadi ya njano!
Kosa la kupiga,hii inaingia kwenye Serious foul play!Na adhabu yake ni kadi nyekundu!
Kwa kukujulisha tu,kuna aina za foul!
-Reckless foul play
-Dangerous foul play
-Serious foul play
Kazisome hizo fouls kwenye sheria za FIFA then urudi hapa na utakuwa umeongeza maarifa badala ya kuwa mbishi!
Kusukuma kwa kiwango gani ili kuwe reckless, kumsukuma mtu purposely/intentionally mtu asiyekuwa na mpira wala kuwania mpira kwa kiwango cha kumwangusha haiwezi kuwa reckless. Kinachoadhibiwa kwenye kosa ni dhamira wakati wa kufanya kosa. Onyango alifanya kazi ambayo ilipaswa kufanywa na mwamuzi uwanjani.

Hiyo kanuni ya intentional pushing down ni reckless ni rule number gani?
 
Mk

Mkuu hujui sheria za mpira halafu unakuwa mbishi!Kosa lolote la kupiga kwa kutumia Kichwa,mkuu au mkono hiyo inaingia kwenye Serious foul play na adhabu yake ni kadi nyekundu!Na kosa Mukoko linaingia hapo!
Lakini kosa la Onyango linaingia kwenye reckless foul play,adhabu yake ni kadi ya njano!
Ingekuwa kama usemavyo wewe basi kila siku watu wangekula kadi nyekundu maana hata wakati wa kona watu husukumana sana na wakati mwingine refa kusimamisha mchezo na kutoa onyo!
Ila tukio lolote la kupiga,halina mjadala!Ni umeme tu!Rooney unakumbuka alikula umeme kwa kumpiga Ronaldo England vs Portugal?Unakumbuka Zidane alivyompiga Materrazi akala kadi nyekundu France vs Italy?
Hebu weka hapa tukio ambalo mchezaji alimsukuma Opponent na akapewa straight red card!!!!!

Fanyeni tafiti kidogo kabla ya kuleta uzi hapa!
Kwa ufafanuzi zaidi,subiri kipyenga cha mwisho kutoka kwa Othuman Kazi,mwamba wa sheria za mpira!Kipindi kipo kesho azam sports 1 kuanzia Saa 3:30 usiku,mechi ya Simba vs Yanga itachambuliwa vyema!
Sheria namba gani hivyo? Kama Yacouba angeumia miserably pale utasema ni reckless.
 
Kusukuma kwa kiwango gani ili kuwe reckless, kumsukuma mtu purposely/intentionally mtu asiyekuwa na mpira wala kuwania mpira kwa kiwango cha kumwangusha haiwezi kuwa reckless. Kinachoadhibiwa kwenye kosa ni dhamira wakati wa kufanya kosa. Onyango alifanya kazi ambayo ilipaswa kufanywa na mwamuzi uwanjani.

Hiyo kanuni ya intentional pushing down ni reckless ni rule number gani?
Vipi ile penalty ya mwamnyeto
 
ushindi wa kununua ndio madhara yake hayo, mtaishia robo finali kwa ujanjaujanja kila siku.
We ni msenge inamana penalty za Simba walizonyimwa yanga mlitoa hela ndo mana kocha wenu aliwaita manyani hamjitambui
 
Ni imani yangu kuwa Mungu hajakunyima vyote maana hawezi kukunyima akili alafu akunyime na mali,Mungu wetu ni mwaminifu
 
Back
Top Bottom