kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 12,305
- 12,600
Wajuzi wa mpira hebu tufafanulieni humu kuhusu ubaya na ukubwa wa makosa waliyofanya Mukoko na Onyango wakati wa mechi ya Simba na Yanga kule kigoma.
Bocco alimfanyia madhambi Mukoko, badala ya kumuachia refa aamue atoe adhabu gani akajichukulia sheria mkononi ya kumpiga kiwiko Bocco na mwamuzi akamtoa nje kwa kadi nyekundu straight.
Yakuba alimfanyia makosa mchezaji wa Simba badala ya refa kumwadhibu Yacouba akatokea Onyango akamwangusha chini Yakuba kwa kumsukuma kwa nguvu na akaadhibiwa kwa kupewa kadi ya njano na kuendelea kucheza.
Swali hapa ni je, tofauti Kati ya kosa la Mukoko na kosa la Onyango ni nini?
Onyango alimsukuma mtu ambae hakumkosea yeye, Mukoko alimpiga kiwiko mtu ambae alimchezea rafu.
Bocco angeweza kuumia vibaya kutokana na kiwiko Cha makusudi na Yakuba angeweza kuumia vibaya kama angepiga kichwa chini pia.