Kwanini mtu akiwa CCM mnamuita chawa?

Joined
Apr 11, 2024
Posts
25
Reaction score
55
Kupinga kila kitu siyo kujenga hoja wala si kushawishi umati, ila ni kufanya uchochezi ✍️

Jambo lingine, kwanini kutukana mnaita kupinga kwa hoja?

Kukejeli mnaita kupinga kwa hoja?

Kudhalilisha mnaita kupinga kwa hoja?

Mtu kuamini usichoamini, mnaita kukaririshwa?

Mtu kuwa CCM mnaita uchawa?

Kila chenu ni hoja, kila cha wenzenu ni ubaya.

Silaha pekee mnazozitegemea ni udhalilishaji na kutafuta watu kasoro.... Alooo!

 
Hawaitwi, bali wanajiita..!! Walienda mbali kwa kutengeneza hadi mavazi

 
Kwa miaka mingi CCM ikiwa madarakani,watu/wanachama wake wamekuwa hivyo.Unapebdekeza waitweje?
 
Habari yako binti..!!
Kuna PM nimekutumia hapo, do the needful please..😊
 
Mbona Mzee Warioba ni CCM lakini sio chawa. Elewa maana yake Kwanza ndio uandike tena
 
Nyie wenyewe ndiyo mnajitambulisha hivyo. Ngoja ugeuzwe asusa kwanza watu wapigiane pasi fupi fupi ndiyo watakufikiria,ila kuliwa lazima uliwe kwanza.
 
Ccm wanaweza nini?

Umeme eameshindea

maji wameshidwa

ajiira wameshindwa

Barbara wameshinfwa

maafa wameshinfwa

katiba mpya, tume huru, na muungano wameshindwa

ongezea hapo chini
 
Kiongozi anayekula hii mbunye ni nani?

#YNWA
 
Samahani Mrembo Nimekutumia Meseji PM..
Nataka Nikupe Ukuu wa wilaya au Katibu Tawala wa wilaya 😘😘

Unasemaje hapo Binti!
Na nitakutumia Pesa Kidogo ya Kununua Peremende 😀😀
 

Anapewa mimba na mume wake anamshukuru Mama.
Anapata kitambi kutokana na ulaji wake mbovu anamshukuru mama kwa uchumu mzuri.
Mungu anawanisuru watu na ajali anamshukuru mama badala ya Mungu na dereva.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…