Mimi naona mama ndo ana-play part kubwa sana, kwani mama anambeba mtoto tumboni miezi 9, haitoshi siku ya kujifungua leba ni siku ambayo Israeli mtoa roho anakuwa naye karibu sana(kufa/kupona).
Kiasili mwanamke akishaolewa, yeye mwenyewe na anavyovimiliki ni mali ya mumewe. Ni ujeuri tu wa kuishi na dhamira ya Mungu inayowafanya wanawake leo hii wajione wako sawa na wanaume. Na tutapata tabu sana kwa sababu tunaenda kinyume na utaratibu wa Mungu.