Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,447
- 8,723
ipo ndugu nilisoma na kijana mmoja alikuwa anaitwa caleb sarah.aliwahi kutuambia baba yake alihit na kurun.baba yake aligoma kumtunza tangu yupo tumboni.na alikuwa na uwezo mkubwa tu.mama yake kwa hasira aliweka nadhiri huyu mtoto atakuwa na jina langu ili nimsahau baba yake.kwahio alipoanza shule akamuandikisha by that name.Hivi ulishawahi kuona au kusikia mfano:- zubeda zainabu, mariam zurufa, Neema Joyce?
Kuna kiongozi mkubwa Now ni balozi. Anaitwa Asha Rose migiroI
ipo ndugu nilisoma na kijana mmoja alikuwa anaitwa caleb sarah.aliwahi kutuambia baba yake alihit na kurun.baba yake aligoma kumtunza tangu yupo tumboni.na alikuwa na uwezo mkubwa tu.mama yake kwa hasira aliweka nadhiri huyu mtoto atakuwa na jina langu ili nimsahau baba yake.kwahio alipoanza shule akamuandikisha by that name.
Ukitunza ela kwenye kibubu ela ni ya kibubu au yako?Nimekaa nikatafakari saana
Hivi kwanini mtoto anakuwa Mali ya baba wakati kwa mawazo yangu Mimi naona mama ndo ana-play part kubwa sana, kwani mama anambeba mtoto tumboni miezi 9, haitoshi siku ya kujifungua leba ni siku ambayo Israeli mtoa roho anakuwa naye karibu sana(kufa/kupona).
Baada ya hapo kabila, ukoo vyote anafata kwa baba.
Why??
Hizo ni mila POTOFU KAMA MILA zingine,,,,baba AMEWEKA MBEGU zake..matokeo ya MBEGU NI MIMBA,,sasa mtoto Wa nani?Hujafanya utafiti wa kutosha.
Wakikuyu mtoto ni mali ya mama.
Wamakonde pia mtoto ni mali ya mama ndio maana mmakonde humuamini mjomba kuliko baba.
Waembu wa Kenya nao utaoa utalipa mahari utaishia kufaidi puchi/nyapu tu mtoto ni wa mama.
uko sahihi. hata wazaramo pia ni matrilineal, actualy yapo makabila mengi tu ya aina hiyo tzHujafanya utafiti wa kutosha.
Wakikuyu mtoto ni mali ya mama.
Wamakonde pia mtoto ni mali ya mama ndio maana mmakonde humuamini mjomba kuliko baba.
Waembu wa Kenya nao utaoa utalipa mahari utaishia kufaidi puchi/nyapu tu mtoto ni wa mama.
Oa mkikuyu wa Kenya. Siku mama akirudi Kwao Kenya ndio utaelewa somo. Ataondoka na watoto wote na hua anaanza na wakiumeHizo ni mila POTOFU KAMA MILA zingine,,,,baba AMEWEKA MBEGU zake..matokeo ya MBEGU NI MIMBA,,sasa mtoto Wa nani?
jamii za aina hizo(matrilineal societies) huwa wanachukua jina la ukoo toka kwa mamaHivi ulishawahi kuona au kusikia mfano:- zubeda zainabu, mariam zurufa, Neema Joyce?
Aondoke anapitia wapi? kama wao wana mila zao na Mimi Nina mila zangu,na especially tumeoana kwa DINI..na dini ZOTE zinambeba BABA ndy MKUUOa mkikuyu wa Kenya. Siku mama akirudi Kwao Kenya ndio utaelewa somo. Ataondoka na watoto wote na hua anaanza na wakiume
Hayo ni maneno hata kwenye kanga yapo lkn ukweli unaujuaAondoke anapitia wapi? kama wao wana mila zao na Mimi Nina mila zangu,na especially tumeoana kwa DINI..na dini ZOTE zinambeba BABA ndy MKUU
Hivi bado huamini mtoto Wa mwanaume? Ina maana hata Kama sio baba halisi lakini MWANAUME NDY AMEWEKA MBEGU ZAKE HUMOHayo ni maneno hata kwenye kanga yapo lkn ukweli unaujua
Hakuna mtu anaye miliki mtu mwingine..! Mtoto ni mali ya jamii tangu leo ujue hilo.Nimekaa nikatafakari saana
Hivi kwanini mtoto anakuwa Mali ya baba wakati kwa mawazo yangu Mimi naona mama ndo ana-play part kubwa sana, kwani mama anambeba mtoto tumboni miezi 9, haitoshi siku ya kujifungua leba ni siku ambayo Israeli mtoa roho anakuwa naye karibu sana(kufa/kupona).
Baada ya hapo kabila, ukoo vyote anafata kwa baba.
Why??