Hivi ulishawahi kuona au kusikia mfano:- zubeda zainabu, mariam zurufa, Neema Joyce?Matrilineality iko practiced maeneo mengi ya East Africa na Africa, hayo uliyoyahoji ni desturi tu ambazo kwa kizazi hiki cha kisasa mama anaweza kubadilisha...mbona single mothers ni wengi...Kwa mfano jamaa akikataa mtoto mwanamke anaweza mpatia utambulisho wake...nk nk
Kwenye ishu ya single mothers it is possible since baba hataki kudeal na chochote kuhusu mwanae.Matrilineality iko practiced maeneo mengi ya East Africa na Africa, hayo uliyoyahoji ni desturi tu ambazo kwa kizazi hiki cha kisasa mama anaweza kubadilisha...mbona single mothers ni wengi...Kwa mfano jamaa akikataa mtoto mwanamke anaweza mpatia utambulisho wake...nk nk
Hujafanya utafiti wa kutosha.
Wakikuyu mtoto ni mali ya mama.
Wamakonde pia mtoto ni mali ya mama ndio maana mmakonde humuamini mjomba kuliko baba.
Waembu wa Kenya nao utaoa utalipa mahari utaishia kufaidi puchi/nyapu tu mtoto ni wa mama.
Wewe Kabila gani? kwenye kabila langu mtoto hajawahi kuwa mali bali ni binadamu. Unaposema mtoto ni mali una maana hata akiwa mkubwa kwa sababu ni mali ya baba hatamwangalia mama yake bila idhini ya baba? Naona mawazo yako yanakutosha mwenyeweNimekaa nikatafakari saana
Hivi kwanini mtoto anakuwa Mali ya baba wakati kwa mawazo yangu Mimi naona mama ndo ana-play part kubwa sana, kwani mama anambeba mtoto tumboni miezi 9, haitoshi siku ya kujifungua leba ni siku ambayo Israeli mtoa roho anakuwa naye karibu sana(kufa/kupona).
Baada ya hapo kabila, ukoo vyote anafata kwa baba.
Why??