Kwanini Mrisho Mpoto havai viatu?

Ndio ameamua iwe ID yake. Just being different, sioni haja ya kuhoji ama kumuwaza mtu mzima kama mpoto.
 
Reactions: ABJ
Masharti ya mganga wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Eti ndo kinachombrand,Ruge ndo alimshauri hivyo. Ila brand zingine zinipite tu. Kamwe siwezi tembea peku peku.
 
Lakini yeye pekupeku mguuni, sisi wengine pekupeku hadi kwenye 'mambo yetu,' tena mechi za ugenini.

Mungu tusaidie
 
Hivi Mpoto atakuwa mkubwa kwa Ruge au Ruge alikuwa mkubwa kwake?
Sijui,Sijui historia mpoto,hata nyimbo zake sizipendi. Atakuwa mkubwa kwa Ruge,eti hata kununua gari alishauriwa na Ruge. Aliambiwa anunue kwanza shamba baadae ndo anunue gari .Nilimsikia akisema hayo clouds fm. Nilimwona zoba tu. Uzima wote huo hata hatua za maisha hadi ushauriwe na Ruge.
 
Ila jamaa kadri siku zinavyosonga naendelea kuona mapungufu yake yasiyo ya kawaida.
 
Misimamo mingine mi nadhani sio mizuri.

Huyu jamaa mwenye jina kubwa ndani na nje ya nchi ni kwanini havai viatu?

Anaingiaje kwenye public toilets?

Mimi nadhani its high time ashauriwe kuvaa viatu au hata open shoes.

Nasikia hua anazugaga akiwa public tu.....

Ila kwenye maisha ya kawaida anavaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…