Naomba niweke sawa kidogo tu kuondoa upotoshaji wa makusudi. Kwanza mimi nasikia tu kwenye vyombo vya habari kuhusu suala la mafao. Halinisumbui. Nawakumbusha;
- Toka mwaka 2011 mwezi Juni niliacha kupokea posho za vikao. Kwa mwaka posho za vikao ni takribani shs 24 milioni.
- Wabunge hupewa msamaha wa kodi kwenye magari wanayonunua. Kwa kuwa napinga misamaha ya kodi nilikataa na mpaka namaliza ubunge sijatumia msamaha huo wa kodi.
Kwa hiyo suala la fedha sio suala la msingi kabisa kwangu kwenye maamuzi yangu.
Fact: Mpendazoe alilipwa kiinua mgongo chake kwa muda wa miezi aliyotumikia Bunge. Sio kweli kwamba hakupewa kiinua mgongo chake. Alipewa na tunaweza kuthibitisha
Naombeni tutafakari ni kwa nini Mpendazoe hakupewa mafao yake na bunge wakati ule,Lakini zitto anapewa?
Hili si jambo la kupuuza kwa usitawi wa demokrasia yetu na sheria za nchi,ni vema tujadili kujuwa kama bunge letu lina upendeleo wa sheria.
Nimejiuliza angekuwa Lissu angepewa?
Mpendazoye alikuwa agaist CCM,Zitto ni against CDM.
Kwa hivyo basi,huo ni mtazamo tu,kuna weza kuwepo sababu nyinginezo za kikanuni
Naombeni tutafakari ni kwa nini Mpendazoe hakupewa mafao yake na bunge wakati ule,Lakini zitto anapewa?
Hili si jambo la kupuuza kwa usitawi wa demokrasia yetu na sheria za nchi,ni vema tujadili kujuwa kama bunge letu lina upendeleo wa sheria.
Nimejiuliza angekuwa Lissu angepewa?
ukiwa rafiki wa CCM hata ukiachika kwenye ndoa yako una mafao kwenye chama ila ukiwa mwiba kwa CCM unaweza kuitwa mkimbizi licha ya pacha wako wa tumbo moja kuendelea kuwa raia!
Naombeni tutafakari ni kwa nini Mpendazoe hakupewa mafao yake ya ubunge wakati ule,Lakini zitto anapewa?
Hili si jambo la kupuuza kwa usitawi wa demokrasia yetu na sheria za nchi,ni vema tujadili kujuwa kama bunge letu lina upendeleo wa sheria au kanuni?
Tujiulize angekuwa Lissu mnyika,Wenje au Mnyaa wangepewa?