Mkushi Mbishi
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 347
- 560
Hupati maana hujakutana na waathirika imagine tuko milion 60 walio athirika hawafikii milion tano, Hadi huupate ujue umekubuhu mno kupita kiasi
umesoma alichoandika kabla ya kucomment??Hupati maana hujakutana na waathirika imagine tuko milion 60 walio athirika hawafikii milion tano, Hadi huupate ujue umekubuhu mno kupita kiasi
Huku ndo kuvamia sherehe usiyoalikwa .😂Hupati maana hujakutana na waathirika imagine tuko milion 60 walio athirika hawafikii milion tano, Hadi huupate ujue umekubuhu mno kupita kiasi
Hawa ndo wale wana comment kwanza then kusoma baadae[emoji23][emoji23]Umesoma vizuri maelezo yake?
Sometime haya maisha yana maajabu Sana .....mfano unaweza kuwa umejizira ...na kujitupa barabarani ili ujiue .....then unakuta hamna kinachokutokeaHabari zenu
Ndugu zangu msichanganywe na kichwa cha habari na mkaja kunitusi na kunijibu ovyo,sio kwamba nataka nipate.Bali nataka Wataalam na wajuzi waje watupe elimu itakayotupatia faida mimi na nyinyi
Wengi tunaamini kwamba ngono ndio chanzo kikubwa cha maambukizi ya ugonjwa wa ukimwi,hata katika kampeni mbalimbali tunahimizwa kuacha ngono zembe na tutumie kinga ili kujikinga na maradhi haya.
Sasa ni miaka mingi sana tangu nimuoe mke mwenye virusi vya ukimwi na sikuwahi kutumia kinga mpaka siku nilipojua kuwa ni muathirika imeshapita miezi mingi nikaenda kupima nikaambiwa niko salama nikapewa na kondom nakumbuka niliitumia siku moja tu na nikasema kwa roho safi kuwa liwalo na liwe kupata kutokupata yote ni sawa sote tutakufa na sinaga kabisa hofu wala kuwaza hata sikujali tena hiyo issue ili kumpa amani ya roho maana alishapatwa na mshtuko hata yeye hakutegemea kwan alikuwa ni mdogo na alizaliwa nao ni mama yake ndio alikuwa anaficha ukweli
Nikaishi nae yafika mwaka wa sita sasa na Mungu ametujaalia watoto wa kiume wawili ambao wao wako salama kwa kuwa nafuata taratibu zote za kidaktari juu ya watoto wanaozaliwa na mama mwenye HIV
Huwa nasex nae kavukavu,wakat mwingine showshow za kufa mtu,kimaumbile niko vizuri,wakat mwingine michubuko na vidonda wakat wa sex na michubuano hutokea mara kwa mara kutokana show za vurugu zinazotokea.
Lakini sasa ni mwaka wa sita au watano leo nimempeleka akachukue dawa nikapima majibu yanakuja bado niko salama
Sasa najiuliza hivi kuna uwezekano gani miaka yote hiyo bado nisipate ukimwi,kwanini sipati ama ngono sio sababu kuu ya kupata ukimwi ama kuna vitu vingine vinachangia ama inakuwaje kuwaje hii hali.
Tukumbuke kuwa hata nikipata mimi sijali nafsi yangu ilishakunjua kiroho safi na siogop wala sina hofu yani naishi tu safi tu najua kufa kupo haijalishi NITAKUFAJE
Wataalam,wajuzi na madakatari hebu mkuje kidogo mnieleze kitu kuhusu hili,huenda wengine wakapat elimu na kufaidika pia.
Matusi na kebehi si vyema wandugu ni bora upite tu pia nisieleweke vibaya kwenye bandiko langu hili kwani ni kweli ukimwi upo na unaua na hata nami nimeshuhudia.
Nawasilisha
Mkuu, soma kabla ya kujibu!Hupati maana hujakutana na waathirika..
Hujasoma uzi wake. Anyways UKIMWI ni hoax hakuna ugonjwa kwama huo.Hupati maana hujakutana na waathirika imagine tuko milion 60 walio athirika hawafikii milion tano, Hadi huupate ujue umekubuhu mno kupita kiasi
Kwa baadhi ya watu miili yao ina UWEZO wa kuzuia virusi kuleta athari au kupona kabisa.Habari zenu
Ndugu zangu msichanganywe na kichwa cha habari na mkaja kunitusi na kunijibu ovyo,sio kwamba nataka nipate.Bali nataka Wataalam na wajuzi waje watupe elimu itakayotupatia faida mimi na nyinyi
Wengi tunaamini kwamba ngono ndio chanzo kikubwa cha maambukizi ya ugonjwa wa ukimwi,hata katika kampeni mbalimbali tunahimizwa kuacha ngono zembe na tutumie kinga ili kujikinga na maradhi haya.
Sasa ni miaka mingi sana tangu nimuoe mke mwenye virusi vya ukimwi na sikuwahi kutumia kinga mpaka siku nilipojua kuwa ni muathirika imeshapita miezi mingi nikaenda kupima nikaambiwa niko salama nikapewa na kondom nakumbuka niliitumia siku moja tu na nikasema kwa roho safi kuwa liwalo na liwe kupata kutokupata yote ni sawa sote tutakufa na sinaga kabisa hofu wala kuwaza hata sikujali tena hiyo issue ili kumpa amani ya roho maana alishapatwa na mshtuko hata yeye hakutegemea kwan alikuwa ni mdogo na alizaliwa nao ni mama yake ndio alikuwa anaficha ukweli
Nikaishi nae yafika mwaka wa sita sasa na Mungu ametujaalia watoto wa kiume wawili ambao wao wako salama kwa kuwa nafuata taratibu zote za kidaktari juu ya watoto wanaozaliwa na mama mwenye HIV
Huwa nasex nae kavukavu,wakat mwingine showshow za kufa mtu,kimaumbile niko vizuri,wakat mwingine michubuko na vidonda wakat wa sex na michubuano hutokea mara kwa mara kutokana show za vurugu zinazotokea.
Lakini sasa ni mwaka wa sita au watano leo nimempeleka akachukue dawa nikapima majibu yanakuja bado niko salama
Sasa najiuliza hivi kuna uwezekano gani miaka yote hiyo bado nisipate ukimwi,kwanini sipati ama ngono sio sababu kuu ya kupata ukimwi ama kuna vitu vingine vinachangia ama inakuwaje kuwaje hii hali.
Tukumbuke kuwa hata nikipata mimi sijali nafsi yangu ilishakunjua kiroho safi na siogop wala sina hofu yani naishi tu safi tu najua kufa kupo haijalishi NITAKUFAJE
Wataalam,wajuzi na madakatari hebu mkuje kidogo mnieleze kitu kuhusu hili,huenda wengine wakapat elimu na kufaidika pia.
Matusi na kebehi si vyema wandugu ni bora upite tu pia nisieleweke vibaya kwenye bandiko langu hili kwani ni kweli ukimwi upo na unaua na hata nami nimeshuhudia.
Nawasilisha
Mbona kama sijakuelewa mpendwa,umesoma nilichoandika kama jibu ni ndiyo basi naomba unifumbue zaidiHupati maana hujakutana na waathirika imagine tuko milion 60 walio athirika hawafikii milion tano, Hadi huupate ujue umekubuhu mno kupita kiasi
nashukuru sana kaka,najitahidi..pia ukiwa na ushauri zaid karibu sana ndugu yako nipo kukusikilizaHongera sana brother, Mungu bado anakupenda, endelea kuwa mwaminifu usitoke nje, pia body immunities zako zipo vzr
Sent using Jamii Forums mobile app
Source ya hizi takwimu?Hupati maana hujakutana na waathirika imagine tuko milion 60 walio athirika hawafikii milion tano, Hadi huupate ujue umekubuhu mno kupita kiasi
Aisee so uncle wangu alikufa na nini daaah....