my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
hjambo anakusalimiaShemeji yetu wa Egypt mzima?
Msalimie na yeye..Ntakuja Canada kuwatembeleahjambo anakusalimia
kwann wa2 wansema moyo wng umependa? kwann co akil ,macho? coz kupenda ki2 macho ndo yanaona, mesej inapelekwa kwnye ubongo, ubongo unafanya interpretation km ki2 kizur, kbaya ubongo ndo unatambua. kwann wa2 wanasema moyo umependa kwann wacseme akil yng imependa, macho yng yamependa?
ok ntamsallimia. karibu snaMsalimie na yeye..Ntakuja Canada kuwatembelea
cjakuelewa!
Hisia ziwe chanya au hasi hutokea moyoni na si kwenye ubongo na mapenzi ni hisia si akilicjakuelewa!
so moyo kaz yke kuhic?Hisia ziwe chanya au hasi hutokea moyoni na si kwenye ubongo na mapenzi ni hisia si akili
Hisia zote na signal zote hutokea kwenye ubongo...ubongo ndio hupanga kipi kiende wapiso moyo kaz yke kuhic?
nmekuelewa now. asanteHisia zote na signal zote hutokea kwenye ubongo...ubongo ndio hupanga kipi kiende wapi
haka kabint nakaelewa sana daah....ngoja nipite nikiangalia comment na majiribu yakekwann wa2 wansema moyo wng umependa? kwann co akil ,macho? coz kupenda ki2 macho ndo yanaona, mesej inapelekwa kwnye ubongo, ubongo unafanya interpretation km ki2 kizur, kbaya ubongo ndo unatambua. kwann wa2 wanasema moyo umependa kwann wacseme akil yng imependa, macho yng yamependa?
moyo wangu umeupenda mwandiko wako.kwann wa2 wansema moyo wng umependa? kwann co akil ,macho? coz kupenda ki2 macho ndo yanaona, mesej inapelekwa kwnye ubongo, ubongo unafanya interpretation km ki2 kizur, kbaya ubongo ndo unatambua. kwann wa2 wanasema moyo umependa kwann wacseme akil yng imependa, macho yng yamependa?