Habari zenu, Nashangaa sana ili jukwaa endapo ukiandika uzi wa kuomba msaada. Kama Ada, Huduma za matibabu Moderators huzifuta haraka sana. Na unakuta mtu katoa mpaka baadhi ya info zake ili apate kusaidika.
Sasa kuna haja ya kuliita jamiiforums? Mnakera sana MODERATORS.
Ushauri tu, ninaomba...
Iwe ni uwekezaji, kununua kitu, matumizi mbalimbali ya fedha n.k ambapo ulifanya na baadaye ukaona hauna faida au ukakusababishia matatizo.
Tuelezee kwa kina tujifunze ili tusirudie makosa ya wengine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.