Kwanini mnyika?

Mzito Kabwela

Platinum Member
Joined
Nov 28, 2009
Posts
18,904
Reaction score
7,746
Mara kwa mara tumeona na kusikia John Mnyika akikaimu nafasi ya Katibu Mkuu wa CHadema.
Protokali ziko wazi kuwa Naibu Katibu MKuu hupaswa kukaimu nafasi ya Katibu Mkuu pindi katibu Mkuu anapokuwa hayupo.

Hili halifanyiki Chadema. Je Zitto haaminiki? Hana uwezo wa kushika nafasi hiyo nyeti?

Na kwanini yeye mwenyewe yupo kimya halalamiki mtu wa chini yake kuwa bosi wake kwa muda chamani?

Slaa(PhD) na Zitto ni member humu, nawaomba watatue huu utata
 
..lakini Zitto si ndiyo kwanza ametoka kwenye matibabu India.
 
Hakuna utata wowote mkuu.Mnyika ni katibu wa wabunge wa cdm hivyo yupo responsible kwa masuala yote ya kibunge.Hili la chadema na katiba pia lilianzia bungeni,huu ni muendelezo tu.Hivyo elewa tu kuwa Mnyika anafanya hivyo kama katibu wa wabunge wa chadema sio kama katibu mkuu wa chama...!
 

Kwa maana hiyo Mnyika hakukaimu Ukatibu Mkuu? Mtoa mada anasema mara kwa mara huwa Mnyika anakaimu huo Ukatibu na si katika suala la Katiba tu.
 
Whats wrong with Mnyika Kukaimu? Hutaki damu changa zipewe nafasi?
 
Zitto amezidi majigambo ya kishamba yule ndiyo maana wenzake wanampotezea tu. Akijirekebisha tutakuwa tunampa akaimu, asipojirekebisha alie tu.
 
Hivi Zitto alishamaliza shule huko Ujerumani? Inawezekana ikawa ni kwa sababu Zitto yuko busy na shule kwahiyo wangependa kumpa muda zaidi wa kusoma na kufanya shughuli za shule badala ya kuwa busy na shughuli za Chama. Mtoa mada nona unaanza kupandikiza udini hapo na hili ni tatizo kubwa sana kwa ndugu zetu waislamu maana hata kwenye sababu za msingi na zisizo na udini mnaanza kuhisi hivyo. Tujenge nchi yetu kwa pamoja tuache udini.
 

Majibu yenu ninyi Pro CDM ndio yanikipa picha mbaya chama chenu kionekane ni cha UDINI "ukristo"


 
kweli kabisa, wabaki christians tu huko cdm..hakuna kuwapa muslims nafasi bravo..
 
Kwenye red ndipo lilipo lengo lako kuu, poor you.
 

Mtoa mada ana hoja ameuliza "ni accidental au ni planned"

Mfano: naibu katibu mkuu kutokaimu ukatibu mkuu kila wakati ...? its really suspicious given the history of cdm..
 


Anautaka Udaktari ili awe sawa na Dr. Slaa ili isiwe sababu ya kumnyima madaraka ya juu Chamani. Wacha kijana aconcentrate kwenye masomo ili aje kuwa Dr. Zitto - Katibu Mkuu ama Mwenyekiti wa CHADEMA. Akiwa mwenyekiti hapa katibu Dr. Slaa basi ni mwendo wa madaktari tu.
 

Una lako jambo,zitto yuko mapunzikoni baada ya matibabu!sasa ubaya uko wapi au we ndo unataka nafasi hiyo?kaa kimya,maana bado itifaki ina/imezingatiwa.
 
Mawazo yaliyo filisika huwaza udini, ubaguzi na uchonganishi. Msemaji wa Zitto, Zitto hajakutuma kusema ulilosema, muache aseme mwenyewe.
 
Mkuu nafikiri hapo unapotoka!Kwanza ni kweli kwamba Nnyika aliwahi kukaimu nafasi ya katibu mkuu mara kadhaa! ,pili hili swala si la wabunge tu bali wanachana wa Cdm na watanzania wote!km ni swala la kibunge!hata zitto ni kaimu msemaji wa kambi ya upizani! Aksante
 
Zitto kabwe ni Mgonjwa yupo kwenye Mapumziko kama alivyo shauriwa na Madaktari India, Dini yake ni yake zito Cdm cheo hakina dini na yaelekea wewe una Udini na Huna Hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…