huyo ndiyo kiumbe mtamuu ambaye Mungu amewahi kuumbaHabari wana JF! Naomba kuuliza kuhusu huyu mnyama.Kwanini huyu mnyama anapewa majina mengi mengi mara kitimoto, mara mbuzi katoliki, mara mdudu. Sasa mimi najiuliza nini hasa kimo ndani huyu kiumbe mpaka anafichwa fichwa watu kujua kama jana lake halisi lilivyo NGURUWE. Mbona mbuzi, kondo, ng’ombe hawapewi majina tofauti tofauti kama huyu kiumbe nini hasa kipo kweny mnyama huyu. Halafu nimesikia nguruwe jike anaenda hedhi kama binadamu mwanamke hivi kisayansi imekaaje hii kuweza kumtumia kama chakula?
Waislamu wameruhusiwa kula nguruwe wakiwa sehemu ambayo haina chakula chochote isipokuwa nguruwe!Waislamu acheni uroho nguruwe ni haramu msimle wala kumsogelea, atawakosesha pepo kienyejienyeji
Kwa sababu ni mtamu sana, huwezi kumfananisha na mnyama yoyote kwa utamuHabari wana JF!
Naomba kuuliza kuhusu huyu mnyama.Kwanini huyu mnyama anapewa majina mengi mengi mara kitimoto, mara mbuzi katoliki, mara mdudu.
Sasa mimi najiuliza nini hasa kimo ndani huyu kiumbe mpaka anafichwa fichwa watu kujua kama jana lake halisi lilivyo nguruwe.
Mbona mbuzi, kondo, ng’ombe hawapewi majina tofauti tofauti kama huyu kiumbe nini hasa kipo kweny mnyama huyu.
Halafu nimesikia nguruwe jike anaenda hedhi kama binadamu mwanamke hivi kisayansi imekaaje hii kuweza kumtumia kama chakula?